Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

Sababu za kitoto 🤣🤣hata wanafunzi wanaweza kutoa...Tunataka kuona msimamo wao juu ya Papa acheni kuzunguka sana.


Hao jamaa zako hata Nondo yule wa ACT wazalendo hawamfikiii kwa uelewa wa mambo ya siasa...
AKILI ZAKO NDOGO SANA!
 
Pamoja na kwamba hoja Yako ni nzuri lakini rais asiwateue.
 
Ushoga wa mtume na wafuasi wake je, tuunyamazie?
Hakuna kiongozi yeyote wa waislam amewahi kutoa tamko kuhusu kukubalika ushoga kwenye uislam. Ila nyie wagalatia papa ambaye ni kiongozi wenu kasema mashoga muende akawabariki. Pia kaagiza mapadre wawabariki.
Vipi umeshabarikiwa mlei?
 
Hakuna kiongozi yeyote wa waislam amewahi kutoa tamko kuhusu kukubalika ushoga kwenye uislam. Ila nyie wagalatia papa ambaye ni kiongozi wenu kasema mashoga muende akawabariki. Pia kaagiza mapadre wawabariki.
Vipi umeshabarikiwa mlei?
Asilimia kubwa ya masheikh ni wafi..ji, labda ulipitiwa ukiwa bado mdogo muulize mzazi wako
 
Siyo tu kukosa uhuru... Wanakuwa na conflict of interest
 
Sheria zipo na zinasema wazi kabisa kuhusu uhuru wa Tume ya uchaguzi. Je ni kweli wapo huru?
Matatizo ya hii nchi ni makubwa sana na hayawezi kumalizwa na sheria.
Halipo jambo lisilokuwa na suluhisho,nahuwezi maliza changamoto kwa kukwepa ukweli unaotokana na suluhisho.

Sababu ya hii nchi kuwa na matatizo mengi haiwezi kuwa ndiyo sababu ya kuacha kutatua tatizo tunalikumbuna nalo kwa wakati tunapokumbana nalo kwa kisingizio kwamba matatizo yapo mengi tofauti na hili.
Hivyo sababu ya nchi kuwa na matatizo mengi siyo sababu kuacha kutafuta ufumbuzi wa tatizo tunaloliona kwenye tume ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…