Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.
Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.
Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '
Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.
Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .
Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.
Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa 🤣🤣.
Jioneeni wenyewe