Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

Msoga wamekalia matusi mawili makubwa, Magufuli shetani,muuaji,mwizi,ukiwaambia thibitisheni hawawezi.

Yaani mmue mtu makini ili msifiwe nyie?,imeshindikana hiyo

VIVA JPM
Msoga hawajawahi kua na akili

Ubongo zao ni za Akina Nape , Low thinking Capacity
 
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.

Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.

Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '

Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.

Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .

Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.

Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa 🤣🤣.

Jioneeni wenyewe

Ngoja mamluki wa Hangaya wafike
 
Huo ni unafiki wa viongozi wa sasa wa dini wanakosa roho za kinabii za kusema ukweli na kukemea uovu. Huyu aliwahi hata kunyang'anywa passport yake kisa kumkosoa Magufuli!
 
Yeye kua Askofu lkn ikaona Mahali Fulani kunashida, kusingemfanya asinyang'anywe kama unavyodai.

Na yeye huyo huyo bado haifanyi asisemw ukweli, kwamba JPM amefanya mazuriii
 
Haya baba askofu, imegusa nyoyo za wengi, wachache watapinga ila watamezwa na wengi. RIP baba.
 
Alikuwa Kiongozi mzuri , ni vile tu staili yake ya uongozi haikuendana na watu wote
All in all naamini wanaompenda na kuguswa na uongozi wake ni wengi kuliko wanaomchukia .

Wahenga wanasema ni rahisi kutenda wema kuliko ubaya
 
Nikweli kabisa mkuu
 
Hayati hakuwahi kua na Nia mbaya Kwa yoyote anayeitwa Mtanzania .

Hayati alikuta Nchi Haina Kila kitu, Mzee wa watu akaona kwanza tujibane wenyewe !!.

Nia yake ilikua Njema!!.

Je familia yako Sasa inaishia vizuri ??
Kweli mkuu, hata maamuzi yake ya kubomoa kimara na kuacha mwanza kwasababu walimpa kura hakuwa na nia mbaya kwa Mtanzania yoyote. Kama mlichagua upinzani sileti maendeleo, hakika huyu mungu wenu alikuwa na nia njema kwa kila Mtanzania. Shujaa wa sukuma gang atakumbukwa milele
 
Alikuwa Kiongozi mzuri , ni vile tu staili yake ya uongozi haikuendana na watu wote
All in all naamini wanaompenda na kuguswa na uongozi wake ni wengi kuliko wanaomchukia .

Wahenga wanasema ni rahisi kutenda wema kuliko ubaya
Hivi Tanzania kati ya wanyonge/masikini na werevu wapi wengi?
 
Kupambana na Magufuli ni sawa na kupambana na wakati, hauwezi kamwe kushinda.
 
Msoga wamekalia matusi mawili makubwa, Magufuli shetani,muuaji,mwizi,ukiwaambia thibitisheni hawawezi.

Yaani mmue mtu makini ili msifiwe nyie?,imeshindikana hiyo

VIVA JPM
Huwa nashangaa hayo matusi yao kama angekuwa na sifa ya hayo matusi wanaomuota je MUNGU Angempa nafasi ya kututubu dakika za mwisho .Magufuli amekufa mbele ya askofu kadrinali pengo na shekhe zuberi hiyo ni bahati na ni wachache sana wanaopata nafasi ya toba dakika ya mwisho hiyo ni hadi MUNGU akuchague.naludia tena hiyo ni hadi MUNGU akuchague.
 
Back
Top Bottom