Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

Aiseeee kumbe ile airport ya chato ina vigezo vya international airports duh mkuu ushawahi kwenda duniani kwenye nchi zenye viwanja vyao au unaongozwa tu na chuki zisizo na mantiki
Airport siyo jengo la abiria bali ni runway. Uwanja wa Chato una runway ya 3 km, unazidiwa na JKNIA, KIA na Songwe. Hata Zanzibar na Mwanza haifikii. Kama inaweza kupokea Boeing Dreamliner na Airbus basi ujuwe hiyo ni kiwango cha International
 
Kumbe hujui vitu vingi pole sana
Airport siyo jengo la abiria bali ni runway. Uwanja wa Chato una runway ya 3 km, unazidiwa na JKNIA, KIA na Songwe. Hata Zanzibar na Mwanza haifikii. Kama inaweza kupokea Boeing Dreamliner na Airbus basi ujuwe hiyo ni kiwango cha International
 
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.

Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.

Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '

Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.

Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .

Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.

Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa 🤣🤣.

Jioneeni wenyewe

Kwan ni akina nan wanataka asahaulike? Na asahaulike kwasababu gan? Hili jambo linakuzwa kila cku!!
 
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.

Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.

Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '

Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.

Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .

Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.

Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa 🤣🤣.

Jioneeni wenyewe

Huyo askofu ni binadamu wa kawaida kabisa na mawazo yake ni ya kawaida kabisa wala hayana impact yeyote ile
 
Niliitoa angalizo nilisema Askofu ni Theologian kumuelewa inabidi uwe na akili
Kwamba Theologian ndio inawafundisha Ma Askofu wawe wanaongea vitu wasivyomaanisha yaan wafanye dhambi za waziwazi?.

Usilazimishe Askofu ,awe na fikra kama zako.
 
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.

Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.

Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '

Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.

Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .

Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.

Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa [emoji1787][emoji1787].

Jioneeni wenyewe

Wapo wanuka mafii wanataka kujifananisha na magufuli
 
Kwamba Theologian ndio inawafundisha Ma Askofu wawe wanaongea vitu wasivyomaanisha yaan wafanye dhambi za waziwazi?.

Usilazimishe Askofu ,awe na fikra kama zako.
Nihakikishie kwanza kama una akili ndiyo tuendelee.

Huyu Askofu Niwemugizi alipata harassment kubwa sana kutoka watu wa Magufuli waliochukua passport yake. Akiwa anatumia madhabahu yake alitoa mahubiri ambayo hayakumfurahisha mwendazake hasa kuhusu watu wanaouliwa na kukutwa miili inazagaa baharini. Kwa akili yako unaona kamsifia lakini kwa tuliosoma Cuba tunaona kampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Ujenzi wa stendi kubwa ya Mkoa ya Chato ambayo haitumiki, Jengo la CRDB, Wanyama wa Burigi, Hospitali ya Rufaa Kanda na Uwanja wa Ndege wenye runway ya kimataifa vyote vilivyopo Chato vitaendelea kuonyesha kuwa kuna MTU mmoja KICHAA ambaye aliamua kutumia raslimali za taifa vibaya kwa ajili ya kupendelea kijiji chake. Hiyo ndiyo maana ya maneno ya Niiwemugizi
 
Sasa kufanya hayo chato ni dhambi? Chato ipo msumbuji??.

Yeye kua Askofu, kunamfanya kama mambo fulan kumuhusu hayako sawa, yawe yanapuuziwa ?. nayo yafutiliwe mbali??.

Je hayo masuala hayo, yanaweza mfanya asiseme ukweli kwamba JPM kaacha legacy ?.

Kwa mbali nilijua una akili ila Kwa ukaribuu zaidi nikweli Hauna akili.
 
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.

Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.

Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '

Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.

Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .

Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.

Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa 🤣🤣.

Jioneeni wenyewe

Huyu askofu ametekelea maandiko. "Watendeeni mema hata wale wanaowachuki"...
Nakumbuka jiwe alihoji uraia wa huyu Askofu
 
Yeye kua Askofu lkn ikaona Mahali Fulani kunashida, kusingemfanya asinyang'anywe kama unavyodai.

Na yeye huyo huyo bado haifanyi asisemw ukweli, kwamba JPM amefanya mazuriii
Usimulishe maneno, hajasema amefanya mazuri bali amefanya mengi. Katika mengi kuna mazuri na maovu, evil, mengi
 
Tuachane na habari za 2013 ,hakuwepo !!.

Aliminya kisa nn?. Ulitaka apandishe Madaraka ili hali Taifa lilikua linaingia Hasara ya Mabiliom Kila Mwezi?.

Salary yako unayoipata Sasa, inakukidhi na inaendana na hali yako ya Maisha?.

Je Samia kaongeza Mshahara ?? Au
Anaposema ameishi kwa salary ndogo kwani alipoajiriwa aliambiwa atalipwa ngapi?
 
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.

Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.

Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '

Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.

Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .

Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.

Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa [emoji1787][emoji1787].

Jioneeni wenyewe

Unafikiri familia za Ben Saanane, Azori Gwanda, Akwilina na wengine wengi wanaweza kumsahau huyo kichaa? Ukimuona Lissu anatembea kwa kuvuta mguu unawezaje kumsahau Magumashi?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Akiongea askofu ni kama wameongea WATANZANIA zaidi ya milioni 50 inatosha
 
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.

Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.

Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '

Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.

Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .

Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.

Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa [emoji1787][emoji1787].

Jioneeni wenyewe

Naam, kwa hakika mtu mmoja ambaye hatamsahau JPM ni yeye mwenyewe Askofu Niwemugizi! Askofu huyu alinyang'anywa passport yake na utawala wa awamu ya tano baada ya kuongelea umuhimu wa katiba mpya! Alituhumiwa siyo raia wa nchi hii. Passport yake ilikuja kurudishwa siku chache tu kabla ya kutembelewa na Lissu wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2020. JPM atabaki katika historia ya nchi hii kama kielelezo hai cha yale mafundisho ya Biblia kuwa anayedhani amesimama ajihadhari asianguke! Nchi hii ilidhani imekomaa kisiasa na kubweteka kinyume cha tahadhari aliyotupa Baba wa Taifa. Chini ya utawala wa JPM tahadhari ya Baba wa Taifa ilitimia. Baba Askofu anatuambia kuwa nchi hii itabaki kuwa mfano hai wa jinsi nchi ambayo ilionekena ni mfano mzuri wa ustaarabu wa kijamii na kisiasa inavyoweza kuharibika ghafla kutokana na uongozi wa kisiasa. Maana ya Askofu; kwamba kila wakati katika kuijenga nchi hii watu wenye mapenzi mema watakuwa wanajaribu kujikumbusha na kutafiti ilikuwaje nchi hii ikafika mahali ilipofikishwa katika awamu ya tano. Jenerali Ulimwengu alipata kusema haya kuhusu hali hiyo: kidemokrasia tumerudi nyuma miaka 50.
 
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.

Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.

Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe pale yatapiga kelele '

Huyu ndio Hayati JPM , aliyewahi kua Rais Bora na atakayebaki kua Bora hapa Tanzania.

Askofu anasema.... Huyu mtu hasahauliki maana Kila Mahali ,popote unapopita Kuna Alama yake kaichaa...popoteeee paleeee Nchi nzima .

Askofu anasema.... Ili asahaulike ni labda itokee Alama alizoziacha Zipoteee !!.

Hivi Tanzania hiii, ni wapi utagusa, usimkute JPM?? Usipomkuta kama Mbunge .utamkuta Kama Waziri - Mwambaa na Meli ya Wachina wa Samaki... Utamkuta Ujenzi - na Mabadabara Kila Kona ,,,,,,, Kwenye Urais ndo kabisaaaa [emoji1787][emoji1787].

Jioneeni wenyewe

Hata kwetu sisi aliyetukwapulia mamilioni yetu kwa mtutu wa bunduki kwenye maduka ya kubadilishia fedha ametuachia alama.

Hata kwa familia za miili iliyookotwa kwenye viroba kaacha alama.
 
Back
Top Bottom