Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

Hata huyo askofu ana alama ya magufuli. Alitakiwa adhibitishe uraia wake kama kweli m-Tanzania
 
Baba askofu anajua hadi leo hata Ibilisi hajasahaulika na hatosahaulika hadi mwisho wa dunia.
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli,nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia,

1. UFISADI/MWIZI nataka kujua JPM alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe

2. MUUAJI/SHETANI je alimuua nani?

3. ALIPORA MALI ZA WATU je JPM alipora mali za kina nani na kwa njia gani?tafazal iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke

4. DICTATOR UCHWARA je udictator wake ni upi? Tuwekane sawa iki tujue kwa undani maana kuna watu ukitaja jina la JPM anaweza kukuzaba kibao
 
Sukuma Gang mnahangaika Sana
Mwendakuzimu kishakufa na Kwa sasa Yuko Motoni anatumikia adhabu yake ya ushetani alioufanya Duniani.
Tunamshukuru Mungu Kwa Kutuondolea lile Shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…