Pre GE2025 Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya ushirikina, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka, ambavyo vinatishia usalama wa nchi.

Dk Shoo, ambaye pia ni mkuu mstaafu wa KKKT, amezungumzia pia wizi wa kura na rushwa wakati wa uchaguzi, akiwataka Watanzania kuomba Mungu ili kuliepusha Taifa na vitendo hivyo.

Ameyasema hayo leo Ijumaa, Agosti 30, 2024, wakati akifungua mkutano mkuu wa 38 wa Dayosisi ya Kaskazini uliofanyika katika Hoteli ya Uhuru, Mjini Moshi.

Akielezea kwa masikitiko, Askofu Shoo amesema vitendo hivyo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na mauaji na utekaji, vinaweza kuhusishwa na masuala ya uchaguzi, jambo ambalo ni hatari kwa mustakabali wa nchi.

Ameongeza kuwa, ikiwa mauaji hayo yanahusishwa na uchaguzi kwa lengo la kujipatia nafasi za uongozi, wale wanaohusika wanapaswa kumuomba Mungu, kwani ikitokea kwamba wanapata nafasi hizo, Taifa litaingia kwenye vilio na majonzi.

"Biblia inasema kiongozi mwovu anapotawala, nchi huugua. Hivyo, viongozi wanaotumia njia za ushirikina kujipatia madaraka wamesahau kuwa madaraka na mamlaka vinatoka kwa Mungu. Ikiwa mtu huyu atapata madaraka, nchi italia.

“Tunahitaji kuomba sana na kuwakataa wote wanaotumia njia za kikatili kumwaga damu za watu ili kujipatia madaraka, mali, na vyeo mbalimbali," amesema.

Aidha, ameendelea kukemea vitendo vya wizi wa kura, rushwa wakati wa uchaguzi, ulevi na ufujaji wa mali za umma, akisema vitendo hivyo vinaweza kuharibu sifa ya Taifa na kuleta laana.

Amesisitiza kuwa ni lazima Watanzania wote wakatae mambo hayo na kuwakataa viongozi wanaohusika ili kuhakikisha wanapatikana viongozi bora na si bora viongozi.

"Tanzania katika karne hii ya 21 kuelekea karne ya 22 bado tunapambana na changamoto kama madawati shuleni, matundu ya vyoo, madarasa na upungufu wa dawa, huku mchwa wakiendelea kutafuna fedha za umma na kuwaacha Watanzania wenzao katika hali mbaya. Ni wakati wa kila mmoja kukataa na kukemea wizi na ubadhirifu wa mali za umma," amesema.

Dk Shoo pia amewataka wananchi kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura na wale wenye sifa za uongozi kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali.

Amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, na Uchaguzi Mkuu 2025, ili kuwachagua viongozi bora bila kujali itikadi za kisiasa.

Kwa upande wake, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Msafiri Mbilu amewahimiza viongozi wa Dayosisi ya Kaskazini kufanya kazi kwa bidii, kuwa waaminifu katika kutunza muda na mali za kanisa na kuondokana na umaskini.

"Tuwe waaminifu katika kutunza muda, kutunza mali za kanisa. Tumekabidhiwa mali nyingi, tuwe waaminifu," amesema Askofu Mbilu.

Chanzo: Mwananchi
 
Huyu naye, hataki kustaafu,aavhie wengine wawe maaskofu😳
 
Attachments

  • IMG-20240830-WA0043.jpg
    IMG-20240830-WA0043.jpg
    111.1 KB · Views: 3

Huyu alikiwa hampendi Magufuli na aliamini akiwa hayupo mambo yatakuwa shwari! Unafiki ni kitu cha ajabu sana!
 
Kwamba Baba Askofu hajui mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa November?

Kwamba Baba Askofu Shoo amesahau kila baada ya miaka mitano since 1965 ni uchaguzi mkuu?

Kwamba hana habari imani za kishirikina ni sehemu muhimu ya maisha ya mtanzania?

Mshaurini aache kuzunguka mbuyu; awe jasiri kama manabii wa kale akina Eliya, Elisha, and the like!

Kwamba, chagueni hivi leo mtakayemwabudu; ila mimi na nyumba yangu tutamwabudu Bwana; Askofu Shoo alitamke kwa ujasiri bila kumung'unya maneno.
 
Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya ushirikina, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka, ambavyo vinatishia usalama wa nchi.

Dk Shoo, ambaye pia ni mkuu mstaafu wa KKKT, amezungumzia pia wizi wa kura na rushwa wakati wa uchaguzi, akiwataka Watanzania kuomba Mungu ili kuliepusha Taifa na vitendo hivyo.

Ameyasema hayo leo Ijumaa, Agosti 30, 2024, wakati akifungua mkutano mkuu wa 38 wa Dayosisi ya Kaskazini uliofanyika katika Hoteli ya Uhuru, Mjini Moshi.

Akielezea kwa masikitiko, Askofu Shoo amesema vitendo hivyo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na mauaji na utekaji, vinaweza kuhusishwa na masuala ya uchaguzi, jambo ambalo ni hatari kwa mustakabali wa nchi.

Ameongeza kuwa, ikiwa mauaji hayo yanahusishwa na uchaguzi kwa lengo la kujipatia nafasi za uongozi, wale wanaohusika wanapaswa kumuomba Mungu, kwani ikitokea kwamba wanapata nafasi hizo, Taifa litaingia kwenye vilio na majonzi.

"Biblia inasema kiongozi mwovu anapotawala, nchi huugua. Hivyo, viongozi wanaotumia njia za ushirikina kujipatia madaraka wamesahau kuwa madaraka na mamlaka vinatoka kwa Mungu. Ikiwa mtu huyu atapata madaraka, nchi italia.

“Tunahitaji kuomba sana na kuwakataa wote wanaotumia njia za kikatili kumwaga damu za watu ili kujipatia madaraka, mali, na vyeo mbalimbali," amesema.

Aidha, ameendelea kukemea vitendo vya wizi wa kura, rushwa wakati wa uchaguzi, ulevi na ufujaji wa mali za umma, akisema vitendo hivyo vinaweza kuharibu sifa ya Taifa na kuleta laana.

Amesisitiza kuwa ni lazima Watanzania wote wakatae mambo hayo na kuwakataa viongozi wanaohusika ili kuhakikisha wanapatikana viongozi bora na si bora viongozi.

"Tanzania katika karne hii ya 21 kuelekea karne ya 22 bado tunapambana na changamoto kama madawati shuleni, matundu ya vyoo, madarasa na upungufu wa dawa, huku mchwa wakiendelea kutafuna fedha za umma na kuwaacha Watanzania wenzao katika hali mbaya. Ni wakati wa kila mmoja kukataa na kukemea wizi na ubadhirifu wa mali za umma," amesema.

Dk Shoo pia amewataka wananchi kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura na wale wenye sifa za uongozi kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali.

Amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, na Uchaguzi Mkuu 2025, ili kuwachagua viongozi bora bila kujali itikadi za kisiasa.

Kwa upande wake, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Msafiri Mbilu amewahimiza viongozi wa Dayosisi ya Kaskazini kufanya kazi kwa bidii, kuwa waaminifu katika kutunza muda na mali za kanisa na kuondokana na umaskini.

"Tuwe waaminifu katika kutunza muda, kutunza mali za kanisa. Tumekabidhiwa mali nyingi, tuwe waaminifu," amesema Askofu Mbilu.

Chanzo: Mwananchi
Kauli kama hizi zinahitajika ziwe nyingi zaidi kutoka kwa viongozi wa dini
 
Huyu alikiwa hampendi Magufuli na aliamini akiwa hayupo mambo yatakuwa shwari! Unafiki ni kitu cha ajabu sana!

..sasa kilichomzuia Magufuli kukomesha ukatili wa jeshi la Polisi alipokuwa madarakani ni nini?

..kwamba jeshi la Polisi linaendelea na unyama, hata baada ya Magufuli kufa, hakumsafishi na matendo maovu yaliyofanyika ktk kipindi alipokuwa madarakani.
 
Viongozi wa Kiislamu vipi?
 
..sasa kilichomzuia Magufuli kukomesha ukatili wa jeshi la Polisi alipokuwa madarakani ni nini?

..kwamba jeshi la Polisi linaendelea na unyama, hata baada ya Magufuli kufa, hakumsafishi na matendo maovu yaliyofanyika ktk kipindi alipokuwa madarakani.
Vipi yanayofantika saizi yanafavywa na Samia? Maana kipindi kile kila liliokuwa likitokea mlisema kafanya yeye! Nyumbu ni taabu sana!
 
..Samia anaendeleza yaliyokuwa wakifanya na Magufuli.

..hujasikia kwamba Samia anakamilisha miradi yote aliyoanzisha Magufuli?

..basi hata utekaji na utesaji ulikuwepo wakati wa Magufuli Samia ataendelea nao.
 
Siku Askofu Shoo anakabidhiwa kadi ya Chadema kila mtu alifurahi
 
..Samia anaendeleza yaliyokuwa wakifanya na Magufuli.

..hujasikia kwamba Samia anakamilisha miradi yote aliyoanzisha Magufuli?

..basi hata utekaji na utesaji ulikuwepo wakati wa Magufuli Samia ataendelea nao.
Utekaji haujaanzia kwa Magufuli wala Samia serkali zote zina matatizo hayo ila mlivyo wanafiki utadhani yalianzia kipindi cha Magufuli!
Maana kipindi cha Kikwete akina na Dr Ulimboka walitekwa na kutupwa msitu wa Magwe pande na Mwanahabari Mwangosi aliuawa na Polisi!
 
..unaweza kusema ukatili wa vyombo vya dola ulitokea hata wakati wa Mwalimu Nyerere.

..wanachotaka wananchi ni serikali kujitenga na watendaji waovu walioko ktk vyombo vya dola.

..vyombo vya dola vikitenda uovu na Raisi akishindwa kuchukua hatua maana yake anaunga mkono uovu huo.

..Magufuli alikuta vyombo vya dola vinafanya mambo ya hovyo, badala ya kuyasitisha yeye akawaongezea makali.

..Mama Samia alianza kwa kutoa kauli nzuri nzuri za 4R lakini sasa hivi amegeuka anaita wakosoaji mbwa, na utekaji umerudi.
 
Huyu askofu anyamaze, kuibuka askofu na kukemea kutaibua hisia za zenye taswila ile ile ya Bandari.
Kuna watu watasema katumwa na kanisa.
 
Back
Top Bottom