Pre GE2025 Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwalasusa huyuhuyu "aliyefuzwa kutoilaumu" Serikali au mwingine!
Wachunga kondoo hawa sijui nisemeje!
 
Vita upande mmoja una Maaskofu na viongozi wa dini ya Kikristo, Wasomi, Wanaharakati wa haki za binaadam nawatanzania na Jumuiya za kimataifa, wakati upande mwingine kuna Masheikh, Wasanii na vyombo vya ulinzi na usalama.
Serikali ipo kati inaangalia upande gani inaweza ikajbebea points za bure ili ijiunge nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…