GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).

Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu.

Katika ibada ya jana na waumini wake amesisitiza kuwa yale maandamano hayakuwa ya amani kiasi kwamba imepelekea kuharibiwa kwa mali za watu,miundombinu ya serikali na wizi kwenye biashara za watu.

Ameendelea kusema kwamba fujo na uhalifu siyo njia sahihi ya kudai haki mwisho wake huwa ni mbaya kwani madhara yake huwakuta wanaohusika na wasio husika.

Amewaombea wafu walipoteza maisha na wale ambao wameharibiwa na kuibiwa mali na biashara zao.

Maoni yangu,kanisa katoliki lijifunze kwa wenzao na liache double standard ya kujifanya wenye haki ya kuonewa huruma ni hao.wafu tuh as if vifo vimewakuta bila sababu,ukiachia mbali baadhi ambao wamekutwa na vifo bila kuhusika ila tutandelea kusimama na hoja kwamba wahalifu walichokipata ni kutokana na majibu ya vitendo vyao.
 
Usitake kila mtu awe chawa kama wewe. Hakukua na uhalali wowote wa askari kuua watu, waliofuatwa majumbani kwao walikua wanaanfamana? Kale katoto ka miaka 2 kalikua kanaandamana? Acha kunya kunya hovyo bas.
 
Kwahiyo ukitaka wale wahuni waliovamia biashara za watu kuzichoma waachwe kisa tuh nyinyi mtalalamika?
 
Friends and Our Enemies,

Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).

Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu.

Katika ibada ya jana na waumini wake amesisitiza kuwa yale maandamano hayakuwa ya amani kiasi kwamba imepelekea kuharibiwa kwa mali za watu,miundombinu ya serikali na wizi kwenye biashara za watu.

Ameendelea kusema kwamba fujo na uhalifu siyo njia sahihi ya kudai haki mwisho wake huwa ni mbaya kwani madhara yake huwakuta wanaohusika na wasio husika.

Amewaombea wafu walipoteza maisha na wale ambao wameharibiwa na kuibiwa mali na biashara zao.

Maoni yangu,kanisa katoliki lijifunze kwa wenzao na liache double standard ya kujifanya wenye haki ya kuonewa huruma ni hao.wafu tuh as if vifo vimewakuta bila sababu,ukiachia mbali baadhi ambao wamekutwa na vifo bila kuhusika ila tutandelea kusimama na hoja kwamba wahalifu walichokipata ni kutokana na majibu ya vitendo vyao.
Bi chura anakutafuta akupige shaba ya kichwa kwa kosa la kumzunguka kwa VPN kuingia jamiiforums wakati ameipiga marufuku
 
Tupo hapa kuwapiga spana wajinga wajinga wote ambao wanadhani wana ubavu wa kuleta fujo
 
Walitakiwa wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Sio kupigwa head bullets.
Mwizi wa kuku tuh ulivyo na roho mbaya unamchoma moto,sembuse jambazi anaechoma petrol stations?

Jambazi dawa yake ni chuma tuh
 
Friends and Our Enemies,

Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).

Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu.

Katika ibada ya jana na waumini wake amesisitiza kuwa yale maandamano hayakuwa ya amani kiasi kwamba imepelekea kuharibiwa kwa mali za watu,miundombinu ya serikali na wizi kwenye biashara za watu.

Ameendelea kusema kwamba fujo na uhalifu siyo njia sahihi ya kudai haki mwisho wake huwa ni mbaya kwani madhara yake huwakuta wanaohusika na wasio husika.

Amewaombea wafu walipoteza maisha na wale ambao wameharibiwa na kuibiwa mali na biashara zao.

Maoni yangu,kanisa katoliki lijifunze kwa wenzao na liache double standard ya kujifanya wenye haki ya kuonewa huruma ni hao.wafu tuh as if vifo vimewakuta bila sababu,ukiachia mbali baadhi ambao wamekutwa na vifo bila kuhusika ila tutandelea kusimama na hoja kwamba wahalifu walichokipata ni kutokana na majibu ya vitendo vyao.
Adhabu ya kufanya uharibifu ni kifo? Waislam wenzako waliouliwa wakiwa majumbani mwao walikuwa wanaandamana? Mkund* we
 
Wewe cho.ko jitoe ufaham uende ukachome petrol stations tena uone

Tokeni teni muone,we send you to the cemetary.
 
Friends and Our Enemies,

Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).

Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu.

Katika ibada ya jana na waumini wake amesisitiza kuwa yale maandamano hayakuwa ya amani kiasi kwamba imepelekea kuharibiwa kwa mali za watu,miundombinu ya serikali na wizi kwenye biashara za watu.

Ameendelea kusema kwamba fujo na uhalifu siyo njia sahihi ya kudai haki mwisho wake huwa ni mbaya kwani madhara yake huwakuta wanaohusika na wasio husika.

Amewaombea wafu walipoteza maisha na wale ambao wameharibiwa na kuibiwa mali na biashara zao.

Maoni yangu,kanisa katoliki lijifunze kwa wenzao na liache double standard ya kujifanya wenye haki ya kuonewa huruma ni hao.wafu tuh as if vifo vimewakuta bila sababu,ukiachia mbali baadhi ambao wamekutwa na vifo bila kuhusika ila tutandelea kusimama na hoja kwamba wahalifu walichokipata ni kutokana na majibu ya vitendo vyao.
Yaani wewe mpumbav, mdini na usiyekuwa na maarifa ya aina yoyote ndio wa kulishauri Kanisa Katoliki jinsi gani ya kuisemea jamii?

Kanisa letu halina wapumbav na machawa kama hao akina Shoo wanaomlamba makalio shetani jike la kizanzibar Samia, ambao kabla ya uchaguzi walikuwa bize kuhubiri "amani" bila haki.
 
Hata shehe majini alikuwa chawa kama wewe but guess what happened?
 
Wewe ongea,tukana au jitie vidole

Ukijifanya nunda na kwenda kuleta vurugu,wizi na uharibifu dawa yako ni kula chuma tuh
 
Hata shehe majini alikuwa chawa kama wewe but guess what happened?
Ni consequences...

Wezi na majambazi ndiyo sababu ya vifo visivyo na msingi...

We call that as a proffessional mistake..waliotakiwa kula shaba ni watu kama wewe,hebu tokezea basi hiyo december uone kifo kinafafanaje.

Kenge wewe.
 
Friends and Our Enemies,

Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).

Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu.

Katika ibada ya jana na waumini wake amesisitiza kuwa yale maandamano hayakuwa ya amani kiasi kwamba imepelekea kuharibiwa kwa mali za watu,miundombinu ya serikali na wizi kwenye biashara za watu.

Ameendelea kusema kwamba fujo na uhalifu siyo njia sahihi ya kudai haki mwisho wake huwa ni mbaya kwani madhara yake huwakuta wanaohusika na wasio husika.

Amewaombea wafu walipoteza maisha na wale ambao wameharibiwa na kuibiwa mali na biashara zao.

Maoni yangu,kanisa katoliki lijifunze kwa wenzao na liache double standard ya kujifanya wenye haki ya kuonewa huruma ni hao.wafu tuh as if vifo vimewakuta bila sababu,ukiachia mbali baadhi ambao wamekutwa na vifo bila kuhusika ila tutandelea kusimama na hoja kwamba wahalifu walichokipata ni kutokana na majibu ya vitendo vyao.
Wale waliokauawa mtwara kwenye sakata la gesi nao walikuwa watia Fujo?
 
Back
Top Bottom