Friends and Our Enemies,
Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).
Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu.
Katika ibada ya jana na waumini wake amesisitiza kuwa yale maandamano hayakuwa ya amani kiasi kwamba imepelekea kuharibiwa kwa mali za watu,miundombinu ya serikali na wizi kwenye biashara za watu.
Ameendelea kusema kwamba fujo na uhalifu siyo njia sahihi ya kudai haki mwisho wake huwa ni mbaya kwani madhara yake huwakuta wanaohusika na wasio husika.
Amewaombea wafu walipoteza maisha na wale ambao wameharibiwa na kuibiwa mali na biashara zao.
Maoni yangu,kanisa katoliki lijifunze kwa wenzao na liache double standard ya kujifanya wenye haki ya kuonewa huruma ni hao.wafu tuh as if vifo vimewakuta bila sababu,ukiachia mbali baadhi ambao wamekutwa na vifo bila kuhusika ila tutandelea kusimama na hoja kwamba wahalifu walichokipata ni kutokana na majibu ya vitendo vyao.