GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukitaka waachwe waendelee kuchoma biashara za watu na kuharibu miundombinu hadi lini?
NATAMBUA BILA KIFICHO WEWE NI MIONGONI MWA TIMU YA SAMIA ILIYOTUMWA KUUA WATANGANYIKA.

Nakuhakikishia damu za watanganyika ulizomwaga ziwe juu ya familia yako na ukoo wako wote.

Hizo TSH 25M ulizopewa zikatumike kulipia matibabu kansa (saratani) ya mama yako ,zikatumike kulipa upasuaji mkubwa kwa ndugu zako
 
Yale mamilioni ya kidunia aliyopewa na serikali yatampeleka jehanam
 
Mwizi wa kuku tuh ulivyo na roho mbaya unamchoma moto,sembuse jambazi anaechoma petrol stations?

Jambazi dawa yake ni chuma tuh
Thats shows how narrow minded you are, celebrating deaths of other innocent human beings.
 
Friends and Our Enemies,

Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).

Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu.

Katika ibada ya jana na waumini wake amesisitiza kuwa yale maandamano hayakuwa ya amani kiasi kwamba imepelekea kuharibiwa kwa mali za watu,miundombinu ya serikali na wizi kwenye biashara za watu.

Ameendelea kusema kwamba fujo na uhalifu siyo njia sahihi ya kudai haki mwisho wake huwa ni mbaya kwani madhara yake huwakuta wanaohusika na wasio husika.

Amewaombea wafu walipoteza maisha na wale ambao wameharibiwa na kuibiwa mali na biashara zao.

Maoni yangu,kanisa katoliki lijifunze kwa wenzao na liache double standard ya kujifanya wenye haki ya kuonewa huruma ni hao.wafu tuh as if vifo vimewakuta bila sababu,ukiachia mbali baadhi ambao wamekutwa na vifo bila kuhusika ila tutandelea kusimama na hoja kwamba wahalifu walichokipata ni kutokana na majibu ya vitendo vyao.
Vipi alizungumzia tume huru ya uchaguzi??
Maana watu huwa wanakwepa hoja ya msingi..
 
Mungu mbariki Askofu Shoo!! Huyu ndo kiongozi wa haki
 
Polisi walishakataza watu kufanya maandamano walisema upige kura kisha urudi nyumbani, sasa hayo maandamano ya amani unayafanyia wapi na kwa kuruhusa ya nani?
 
Wewe gallwo bird na mwenzako bigshow mnajionaje kwamba peke yenu na uyo askofu show mpo kinyume na hadhira kubwa, yale maandamno ata angepewa cheo mtu wa darasa la nne la zamani angeweza ya control bila kifo hata kimoja .
Ilikuwa inafanyika zoez moja tu la kudeal na wezi na waharibifu mabao walikuwa wachache kuliko waandamanaji. Wezi waliiba wakazama mitaani wakawaacha waandamanaji ndo wakapigwa risasi

Polisi wangepita na vipasa sauti na kusema haitakiwi kuharibu mali waandamanaji wote wawe barabara kuu asie andamana asiwepo pembezoni fullstop wale wote waliokuwa wanavunja ni vijana wezi wa mtaani weka akili wale bado wapo wazima kabisaa na wapo mitaani

Kusema waandamanaji walikuwa wezi si kweli bali wezi waliiba wakakimbia zao,

Polisi wangefanya ukamataji kwa kuwafunga pingu za seal zile disposable waliokuwa wanafabya uhalifu ,kwakuwa walipewa oda ya kuua basi waliamua kuitumia direct bila kutumia akili zao badala ya kusawazisha tatizo wameongeza tatizo
Usiwe mtetezi direct embu karibisha akili kidgo unless uwe unafikiria kwa mavi
 
Ni kwamba tu hatuna data yet, lakini nina uhakika over 60% ya waliouawa hata hawakuwa waandamanaji.

Wandaamanaji wengi tuli give up baada ya kuona risasi za moto, watu wameanza kuanguka...tukapoteana hukoo...

Waliouawa wengi ni unsuspecting victims wanapita barabarani / mtaani bila wasiwasi, wamekaa nje hawana wasiwasi wao si si waandamanaji, wapenzi watazamaji, jumlisha na waliofuatwa nyumbani.

🥀 🥀 🥀
 
Kwahiyo sio sawa kusema yalikuwa mauaji ya kuzuia maandamano. Ni Mauji yenye dhima nyingine
 
Kwa hiyo huyu Mzee anabariki mauaji ya vijana zaidi ya 10,000 na yawe juu yake yeye na kizazi chake pamoja na mama dula siyo.
Ifahqmike pia hiyo ni kauli yake kama yeye, si kauli ya KANISA.
 
Vigogo wa dini wanaongea kwa tahadhari mjuba, shoo anaongea kutokana na upepo wa mamlaka unavyosema. KKKT nayo ina waumini wengi na haitaki kujiingiza upande wa waandamanaji. Waandamanaji si majuha, wana hoja za msingi wangesikilizwa tu kuliko kuwasigina. shoo anapotoka kutete mali kuliko uhai wa watu
 
Shoo ni bora angehubiri Yesu ni Mwakozi wa Ulimwengu kuliko kuhubiri siasa madhabahuni. Hayo ni mahubiri ya kujipendekeza kwa wenye nguvu na daima Mungu hakai kwenye unafiki huo. Mungu yuko na wanyonge akiwatetea wanapokosa mtetezi
 
Back
Top Bottom