GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katika ibada ya jana na waumini wake amesisitiza kuwa yale maandamano hayakuwa ya amani kiasi kwamba imepelekea kuharibiwa kwa mali za watu,miundombinu ya serikali na wizi kwenye biashara za watu.
Hapa aliingea ukweli,lkini kwanini asiongelee mauaji yaliyofanywa na State.
 
Wachungaji wa KKKT ni bora wakakaa kimya kipindi hiki kama wachungaji wale wa makanisa yale.Kuanza kubwabwaja maneno kuhusu kadhia hii watapotoka na kuonekana wanahubiri abrakadabra. Kama vipi wanyooke kwenye kiini cha maandamano nini chanzo chake. Kuanza kutoa mahubiri ya kujipendekeza kwa wenye nguvu huku ukiwasigina wanyonge huo ni unafiki na ni mahubiri ya kisadukayo na kifarisayo, Mungu hayupo kwenye mahubiri hayo yenye kujishibisha kwa upeo uvumao
 
Tunamfahamu vizuri huyu askofu wala usijahangaishe naye. Huyo anaangalia tumbo lake, huyu ni fisadi wa kutupwa. Tunachotaka ni haki, Amani ni zao la haki. Kama kuna haki tutakuwa kwenye namba bora kwenye taifa lenye furaha. Leo hii tuna Psychopath wanateka watu, wanawaua kabla hata ya kuwafikisha "torture house".
 
Wewe cho.ko jitoe ufaham uende ukachome petrol stations tena uone

Tokeni teni muone,we send you to the cemetary.
Early in the morning, wanaenda kukutan na shetani wao aliyewatuma kuvunja vitu vya watu na kuleta ujambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…