Askofu Shoo asisitiza NEC kusimamia uchaguzi huru, wa haki na wenye ukweli

Ukinywa viroba unakua pumbafu sn wew...you just utter nonsense.Kwakukusaidia siasa sio kugombea ubunge,its more than that of your simple mind,so far you should note that by nature human being is a political anmal.
Ni kweli kabisa, kuna wakati anakuwa kichwa maji moja kwa moja.
 
Mleta uzi umenishangaza kweri kweri. Ina maana katika Salamu za Pasaka kutoka KKKT ni Baba Askofu Shoo, Baba Askofu Bagonza na Baba Askofu Munga tu ndio waliotoa salamu hizo? Au kuna ujumbe "fulani" ulikuwa unautoa?
 
Ukinywa viroba unakua pumbafu sn wew...you just utter nonsense.Kwakukusaidia siasa sio kugombea ubunge,its more than that of your simple mind,so far you should note that by nature human being is a political anmal.
Ase umemjibu vizuri

Siku mpya inakuja nguvu mpya na mawazo mapya
 
Kwani mwaka huu kuna uchaguzi ? Kuna mtu yuko anawaangali halafu anacheka hiiiiii
 
Salamu za pasaka na uchaguzi wapi na wapi, yeye afungue chamachake ili waumini wake wamchague ieleweke moja, asituchoshe kiongozi wa ajabu sana huyu.
 
Watz wengi hawana ufahamu wa kutosha juu ya elimu ya Uraia.

Mfano ukimuuliza mtu “Je ni viashiria gani vinavyoweza kuonesha kuwa Tume ya Uchaguzi kuwa ni Huru au la”?

Wengi hawajui kabisa!




Sent using Jamii Forums mobile app
Kiashiria kimojawapo ni Wajumbe wa Tume kuteuliwa na Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama twawala.

Hivyo kibinadamu na utimamu wa akili,

Mwajiriwa hutii MAAGIZO NA MAELEKEZO YA MWAJURI WAKE.

Hivyo hakuna uwezekano wa Tume kutenda kazi zake kwa Uhuru.

Mfano:-. Uchaguzi Serikali za Mitaa.
 
Askofu Mkuu Ruwaichi hakugusia kabisa siasa. Ameongea mambo yake na uhalisia wa maisha yetu. Umuhimu wa viongozi wa kidini ni kutusaidia waamini tuwe wema kwa kutumiza wajibu wetu kwa Mwenyezi Mungu na wenzetu. Haya ya kuleta kiongozi wa dhehebu langu au dini yangu ni mambo ya wanadamu wanaovaa majoho ya viongozi wa dini.
Askofu Ruwaichi leo ametukumbusha kwamba waisraeli walikuwa Taifa teule la Mwenyezi Mungu. Lakini ndio walimlazimisha Pilato, mrumi, amsulibishe Yesu, tena kwa kujitoa mhanga kwamba damu yake ni juu yao na watoto wao.
Yangu macho
 
Message sent kwa Jiwe and co,Asante Askofu
 
Wasimamizi wa huo uchaguzi si ndo hawa hawa wakurugenzi wanaosimamia kungolewa kwa mameya bila akidi? Nadhani watu mnaota huku mkiongea
 
Ukinywa viroba unakua pumbafu sn wew...you just utter nonsense.Kwakukusaidia siasa sio kugombea ubunge,its more than that of your simple mind,so far you should note that by nature human being is a political anmal.
Amuige mchungaji Msigwa itapendeza zaidi!
 
Huyu askofu ataitwa mpinzani kisa kasema ukweli.tume huru Ni muhimu sana kwa maslahi ya vyama vyote.
 
Salamu za pasaka na uchaguzi wapi na wapi, yeye afungue chamachake ili waumini wake wamchague ieleweke moja, asituchoshe kiongozi wa ajabu sana huyu.

Ni hivi, tunataka tume huru ya uchaguzi hilo wala siyo ombi bali ni lazima. Unaposema aanzishe chama, kwani kila anayedai tume huru ya uchaguzi ana mpango wa kuanzisha chama cha siasa? Ccm ilianzishwa na watu waliodai tume huru ya uchaguzi? Kama uliahidiwa jimbo kwa kunajisi uchaguzi kupitia tume hii mbovu, basi andika kuwa umekula hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…