Askofu Shoo asisitiza NEC kusimamia uchaguzi huru, wa haki na wenye ukweli

Askofu Shoo asisitiza NEC kusimamia uchaguzi huru, wa haki na wenye ukweli

Hahahaha Kamanda Shoo ana wafurahisha Chadema

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Askofu Mkuu Ruwaichi hakugusia kabisa siasa. Ameongea mambo yake na uhalisia wa maisha yetu. Umuhimu wa viongozi wa kidini ni kutusaidia waamini tuwe wema kwa kutumiza wajibu wetu kwa Mwenyezi Mungu na wenzetu. Haya ya kuleta kiongozi wa dhehebu langu au dini yangu ni mambo ya wanadamu wanaovaa majoho ya viongozi wa dini.
Askofu Ruwaichi leo ametukumbusha kwamba waisraeli walikuwa Taifa teule la Mwenyezi Mungu. Lakini ndio walimlazimisha Pilato, mrumi, amsulibishe Yesu, tena kwa kujitoa mhanga kwamba damu yake ni juu yao na watoto wao.
Yangu macho

Hoja yako ni nini hapa we dogo?
 
Askofu awe muwazi bana aseme tuu tunahitaji tume huru ili walutheri nasi tushike urais maana wakatoliki na waislamu wamezidi...
Pia aseme kuwa tume huru impitishe mgombea wa uraisi na wabunge wote wa CHADEMA washinde la sivyo haitakuwa tume huru. Aseme hivyo! Maana hasa madhumuni yake anataka iwe hivyo!
 
Ni hivi, tunataka tume huru ya uchaguzi hilo wala siyo ombi bali ni lazima. Unaposema aanzishe chama, kwani kila anayedai tume huru ya uchaguzi ana mpango wa kuanzisha chama cha siasa? Ccm ilianzishwa na watu waliodai tume huru ya uchaguzi? Kama uliahidiwa jimbo kwa kunajisi uchaguzi kupitia tume hii mbovu, basi andika kuwa umekula hasara.
Suala ni kwamba Shoo ni mchungaji na wala siyo mwanasiasa, akitaka siasa uwanja ni mweupe aachane na uchungaji, ni aibu kukaa anahubiri siasa makanisani na kuona kana kwamba uongozi uliopo umekalia kimabavu, kamwambie uongozi uliopo ni matakwa ya wananchi.
 
Walutheri pia ni watanzania mkuu
Yes. Madaraka anatupa Mwenyezi Mungu. Leo tunajua na kukumbuka Bwana Yesu alihukumiwa afe na watu ambao alisema wazi walipewa mamlaka na Baba yake wa Mbinguni. Haya mambo ya Askofu kutoa madaraka yasiyo muhusu yametoka wapi? Na je atatuhakikishia VIP uchaguzi utakuwa huru na wa haki? Kwa atakayemchagua kupewa madaraka?
There are positions when anyone holds, neutrality becomes the order of the day.
Naamini kanisa lina changamoto za kutosha na yeye hatumii democracy anayoiongelea kuzitatua.
 
Shida nyingine ni kwamba hata hao anaowapigania hawana lolote zaidi ya porojo tu.
 
Huyu askofu muda wote anawaza siasa tu!
Siku zote makemeo na mafundisho ya wahubiri yanalenga matatizo yaliyo dhahiri kqenye jamii na yanayoendelea kuishi. Kama tatizo letu ni kutotenda haki au kudhulumu, basi ni sahihi kwa wahubiri, kuendelea kukemea bila ya kujali wanasema mara ngapi.
 
Agombee ubunge Moshi mjini jimbo liko wazi......akakutane na wenzake akina mchungaji Msigwa na Askofu Rwakatare!
Askofu aendelee kukemea maovu yanayoishi ndani ya Taifa letu bila kujali ni mara ngapi, mpaka maovu hayo yatakapotoweka.
 
Askofu aendelee kukemea maovu yanayoishi ndani ya Taifa letu bila kujali ni mara ngapi, mpaka maovu hayo yatakapotoweka.
Yeye mwenyewe alichaguliwa kwa mizengwe na hadi leo kuna baadhi ya maaskofu hawampi ushirikiano kwa sababu ya Janja janja yake!
 
Back
Top Bottom