ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Na vyeti vya elimu vya Bashite sasa ni muda muafaka vianze kuchunguzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mku hawa ndo walitoaga waraka Utekaji ukawa usikiki tena mpaka waziri wa ulinzi akamtumbua mtu baada ya kuutolea ile waraka majibu na haikupita muda Jpm akamtumbua kabisa waziri wa ulinzi ndugu yangu Mwigulu.Huyu jamaa anajisahau sana na kujiona kuwa yeye anaweza kutoa amri hata kwenye mambo ya kiserikali na kusahau wajibu wake wa kufundisha kiimani. Waamini wake wengi hawajui tafsiri za vifungu vya biblia ndio jukumu lake na atahojiwa mbele ya haki kwa hilo suala la uongozi wa kisiasa wawaachie viongozi wa kisiasa ambao watahukumiwa kwa nafasi yao
Hili ni tatizo kubwa kwa viongozi wa madhehebu makuu mawili ya kikristo mkoani kilimanjaro ambao hujiona ni zaidi ya viongozi wa dini na kujiona wao ni MANGI wakuu hili linatokana na heshima kubwa na uoga wa waamini wao mbele yao na kuanza kufanya majukumu hata yaliyotakiwa kufanywa na serikali saa nyingine wana abuse mpaka human right .Unakuta baadhi ya sehemu vijijini wanafanya misako ya gongo, pombe za kienyeji na bangi na kutoa adhabu physical hili tatizo lipo
Bado akili zao vipo nyakati za MEDIEVAL wakati dini na serikali vilikuwa havitenganishwi wakati wa TWO SWORD concept. Waacheniviongozi wa kiserikali wafanye majukumu yao na ninyi tekelezeni wajibu wenu. Hayo manyaraka yenu na matamko yenu dhidi ya serikali yanachangia sana ku frustrate viongozi katika kutimiza wajibu wao.
Hakuna uongozi wowote duniani ambao watu wote waliwahi kufurahishwa, fuatilia kwenye biblia, kwenye Quran utaona jinsi Mungu mwenyewe alikuwa anaongoza baadhi ya mataifa kulingana vita vya mapanga kwa watu walio kinyume.
Aisee lumumba wamepatikana safari hiiAchana nae bado ana hasira juu ya kifo cha yule mshamba
Niangalizie faili la Chalamila, yule kichaa wa Mbeya.Hao wote wataendelea kuwepo!
Albert Chalamila ndio nguzo ya Tulia Foundation pale Mbeya hawezi kuondoka!Niangalizie faili la Chalamila, yule kichaa wa Mbeya.
Aliwahi sema tuigeuze CCM iwe Chama cha Magufuli!
Kwani Tulia ndo nani?Albert Chalamila ndio nguzo ya Tulia Foundation pale Mbeya hawezi kuondoka!
Muulize Sugu mbunge mstaafu wa Mbeya mjini anamjua!Kwani Tulia ndo nani?
Askofu Dokta Shoo ATAKUFA na TUTAMZIKA na Chadema HAITAINGIA Ikulu.#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari./https://bit.ly/3sR1WwS
NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...
1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi
2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
Mwanaccm mwenzangu Docta Shoo hatakufa Bali ataishi na kutangaza matendo makuu ya Bwana wetu Yesu KristoAskofu Dokta Shoo ATAKUFA na TUTAMZIKA na Chadema HAITAINGIA Ikulu.
Hallelluya!!Mwanaccm mwenzangu Docta Shoo hatakufa Bali ataishi na kutangaza matendo makuu ya Bwana wetu Yesu Kristo
Amina
HaleluyaHallelluya!!
Wafuasi wa Ibilisi Jiwe utawajua kwa maswali yao .Samahani, hayo yanahusiana vipi na ufufuko? Ya kaisari tumwachie kaisari. Leo siku muhimu, pangua pangua ni kazi ya mama Samia si ya YESU. Leo tungeelezana habari za ufufuo.
Umeongozwa na hisia na mihemko kujibu. Mm si mfuasi wa yoyote.Wafuasi wa Ibilisi Jiwe utawajua kwa maswali yao .
Mkuu kama unakumbuka Kimei alivyochukua tu fomu kugombea ubunge, hata kabla hajapitishwa na chama wakawa wameshampangia Magufuli amteue kuwa waziri wa fedha.Na habari za YESU zitasemwa na nani kama siku ya ufufuo wapakwa mafuta wataongelea habari za panga pangua za samia?