Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari.

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
Nani anawabishia watumishi wa Mungu
 
Kuna mtu anaitwa BISWALO MGANGA huyu alijipa nhuvu kuliko za Mahakama

Kuna Lazaro Mambosasa alikuwa anatekeleza kila UJINGA anaitumwa na Bashite
Turudi hapa tena akina Biswalo Mganga wawajibike kwenye Mahakama
 
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari.

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
Askofu wa visasi,kawajaza ndugu zake na jamaa zake pale KCMC, huyu ni tapeli tu wa kidini na ndio maana kanisa lake haliishi migogoro
 
Huijui KKKT wewe, hilo siyo kama makanisa yenu ya akina Mwamposa au Kakobe. Kaa kimya
 
Kwa taarifa yako mimi ni mlutheri hata kabla mama yako hajazaliwa au kulijua kanisa la Kilutheri, peleka udini na uchaga wenu huko Kishmundu, nawajua maaskofu wakuu karibu wote wa KKKT lakini sio huyo mkabila na fisadi anayejifanya KKKT mali ya wachaga
 
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari.

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
Simchukii bure huyu askofu. Japo uzi huu wa siku nyingi nasema namchukia shoo kama bwanyenye wa kimachame aliyekua na chuki sana na magufuli. Yote kwa kua magufuli alijitambulisha kama mtetezi wa umma hasa wananchi wanyonge hadi pumzi ya mwisho ya maisha yake.
 
Kwa taarifa yako mimi ni mlutheri hata kabla mama yako hajazaliwa au kulijua kanisa la Kilutheri, peleka udini na uchaga wenu huko Kishmundu, nawajua maaskofu wakuu karibu wote wa KKKT lakini sio huyo mkabila na fisadi anayejifanya KKKT mali ya wachaga
Hili limdudu malasusa nilijitu linaroho mbaya sana
 
Nalichukia sana hili li mdudu
Muendelee tu kumwaga petrol kwenye moto. Mnafurahia migongano ya makundi ya akina shayo na akina magufuli; siku wakija kugongana na kusababisha mlipuko; mlipuko huo hautachagua kuwa huyu ni shayo au ni magufuli; utafyonza wote tu kama vile ambavyo sponge huwa inafyonza maji.
 
Hulijui hili likitu malasusa unaongea tu alisaidiwa sana hapo makumira kwa hali na mali na mzee wangu yaani baba angu akafaulu uchungaji alikuwa anapata zero sasa alipopata uchungaji naalipoona kajiweza na niaskofu akaanza dharau aisee aliombwa msaada mdogo wakunisaidia sasa namimi namwitaji alikujajuu alitukana sana ala sasa nimemaliza shule napeta na sio Mungu lizuzu tu shetani sio mpavae kitu fulani ndio umjue hata hao wachungaji namaskofu niaibilisi tu kasoro shooyule mzee Mungu hambariki na na sio wote nimaibilisi ila asilimia kubwa ni maibilisi men
 
Kwa taarifa yako mimi ni mlutheri hata kabla mama yako hajazaliwa au kulijua kanisa la Kilutheri, peleka udini na uchaga wenu huko Kishmundu, nawajua maaskofu wakuu karibu wote wa KKKT lakini sio huyo mkabila na fisadi anayejifanya KKKT mali ya wachaga
Wewe mtoto wa Malaya usiyejuwa baba yako umerithishwa matusi toka kwa Mama yako Malaya.
 
Back
Top Bottom