Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Mkuu kama unakumbuka Kimei alivyochukua tu fomu kugombea ubunge, hata kabla hajapitishwa na chama wakawa wameshampangia Magufuli amteue kuwa waziri wa fedha.

Watu wa ovyo na hatari sana hawa.
Nakumbuka mkuu.
 
Kama ni kweli anaongelea mambo ya mtu mmoja mmoja hiyo siyo sawa hebu aongolee mambo ya kitaifa ya kujenga hoja kubwa zenye kuinua Taifa na siyo mtu mmoja mmoja.
 
Rc morogoro
Dc kilosa
 
Tuseme kilaza wewe na mwenzio Waaai ndio mnajua majukumu ya Askofu Dr. Shoo kuliko yeye mwenyewe? Mara kadhaa humu jf tumeelimisha kuwa roho ukiitenganisha na mwili ni kifo. Mnaowaita wanasiasa mara lukuki huwaomba viongozi wa dini kuongea na waumini wao. Kuwaweka sawa ili siasa zao ziweze kupokelewa vizuri. Vivyo hivyo viongozi wa dini huwahimiza wanasiasa kutengeneza mambo kusudi ujumbe wao ufike kwa wananchi.
 
Kutenganisha dini na siasa ni sawasawa na kutenganisha roho na mwili. Huwezi kula chakula cha roho tu bila kula chakula cha mwili. Mwanasiasa akihubiri siasa madhabahuni poa tu. Kiongozi wa dini akihimiza siasa safi nchini madhabahuni kosa! Mwili bila roho ni maiti. Roho bila mwili ni mzimu. Havitenganishwi. Kifo tu ndicho huvitenganisha. Shangaa kuna mwanajf hajui jambo dogo bali la msingi sana kama hili. Aibu iliyoje. Jitafakari!
 
Askofu kama kuhubiri injili kumekushinda tupe hiyo kazi tuifanye tuokoe kondoo waliopotea.
 
Askofu hivi ukifa leo ghafura utakwenda kutoa hesabu gani kwa Mungu wewe, utaingia mbinguni kweli wewe. Hilo kanisa lako unahubiri injili au unahubiri siasa.
 
Shoo hana busara na wala hafai kuwa kiongozi wa dini. Sijui ni kwa namna gani alifika hapo alipo. Yeye ameingia kichwani mwa Mama akajua anawazaje?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Samahani, hayo yanahusiana vipi na ufufuko? Ya kaisari tumwachie kaisari. Leo siku muhimu, pangua pangua ni kazi ya mama Samia si ya YESU. Leo tungeelezana habari za ufufuo.
Swali hili ungeliuliza like kundi la manabii, mitume na mashehe waliokuwa wakitangatanga naye.
 
Askofu naye bwege tu! Hiyo lugha ya kifutu kaitoa wapi kanisani? Huko KKT ubaguzi wake wa kikabila alishauomaliza?
 
Mkuu Pagan Amum njoo uone wale vifutu uliowataja, wanazidi kupungua
 
Mkuu Pagan Amum njoo uone wale vifutu uliowataja, wanazidi kupungua
 
Huyu askofu kweli? ,mbona ni mnafiki sana hana tofauti na yule mshauri wa kiroho wa Mbeligiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…