Pre GE2025 Askofu Shoo: Rais Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote viwili vya kikatiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tusiobiri tuone yule mpuuzi wa Arusha atatoka na povu la aina gani ,asante sana Baba Askofu.
 
Mbona sijaona alipotaja vipindi 2, zaidi ya maneno vya kikatiba?
 
Mbona sijaona alipotaja vipindi 2, zaidi ya maneno vya kikatiba?
Vipindi vitatu sio viwili mpaka 2035 nyoosha maelezo hii amechukua tu sub bado yeye kuingia kupiga jaramba kwa nafasi yake akamue vipindi vyake viwili ukijumuisha na hiki vitatu
 
Kuna viongizi wa dini wahuni kama wahuni wengine! Anaeongea na BWANA anaonekana sio fala kama huyo!
 
Shoo kasoma alama za nyakati. Nampongeza sana. CHADEMA tafadhali msije mkaanza kumtukana Askofu wenu kwa kuongea ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…