PreGE2025 Askofu Shoo: Wanaosimamia uchaguzi mkuu sikilizeni sauti za wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo la hawa Maadkofu, wakiletewa zile million hamsini 50 na Land Cruzer wanachukua na kutoa sifa. Hii ndiyo knayosabsbisha CCM wawadharau wanapokuja na hizi hoja zao. No wonder Makonda anawafundisha nini cha kuhubiri kwenye madhawabu yao wenyewe.
Kenya wamefanikiwa sana, maana Ruto aliwapa fedha wakamrudishia.
 
Dhuluma haina nguvu mbele ya haki, subiri mwaka huu utaona kitakachoumiza moyo wako.
 
Ombi linaweza kukubaliwa au kukataliwa tena bila kujua.Lakini zikiwepo sheria mpya, wenye nguvu wanakosa uhalali wa kufanya wanyoyafanya.Reforms zinatuhitaji labda kama kuna madhara bayana kwa Taifa
 
CCM kutoka kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi! Sasa kimekuwa chama cha majambazi, mafisadi, na wezi wa kura!! Aibu gani hii! Haya matamko ya viongozi yamekidhalilisha chama kwa sehemu kubwa sana. Wabadilike.

Kumwibia mwananchi mchana kweupe haki yake ya msingi kupitia jeshi ka polisi, siyo poa hata kidogo.
 
kumbe.
 
Subiri...mmelewa sana nyinyi watu na mnawadharau sana watanzania. Nakuhakikishia hamtaiba uchaguzi kilaini kama mlivyozoea.
Kwa haya matamko ya maaskofu au kuna kingine?Halafu mtalinda nini sasa kama hamshiriki? Unaweza ibiwa kitu usichokua nacho?
 
Baba Askofu anagombea jimbo gani?
Oops, nilisahau kuwa chama chake wamejitoa kwenye uchaguzi!
 
Kenya wamefanikiwa sana, maana Ruto aliwapa fedha wakamrudishia.

Wasingekuwa wanachukua chukua hivyo vihela na Sauti zao zingekuwa na nguvu zaidi. Imagine yaani Bashite naye anawapa somo Maaskofu nini cha kuhubiri. Seriously....!!
 
Watu wanaotaka kuendelea kutafuna nchi wakisikia neno "HAKI" wanaanza kutuma vibaraka wao wawatukane maaskofu.

Wanaichukia haki ila wanaipenda amani, vichwa vyao sina hakika kama viko sawa.
​
Vichwa vyao ni kweli haviko sawa. Mwanadamu akiwa na kichwa cha panzi ni tatizo kubwa
 
Kweli kabisa
 
Mwaka jana 2024 wapinzani walipigwa bao takatifu 99%. Km wananchi hawawataki ndio mlazimishe?
 
Soma tena hizo kanuni za maadili na uzielewe halafu uje tena u-comment
 

Attachments

Askofu anataka CCM wasikie? Askofu ana negotiate na Majizi ya Kura? Aaghh wapi hawa ni jino kwa jino tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…