PreGE2025 Askofu Shoo: Wanaosimamia uchaguzi mkuu sikilizeni sauti za wananchi

PreGE2025 Askofu Shoo: Wanaosimamia uchaguzi mkuu sikilizeni sauti za wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dhuluma haina nguvu mbele ya haki, subiri mwaka huu utaona kitakachoumiza moyo wako.
Ningependa tulijadili hili, lakini pengine ni mapema mno na ni kama kumwaga mtama mbele za kuku wenye njaa.
Mbali ya kususia uchaguzi, jambo ambalo litawafurahisha sana CCM; kuna lipi tena la kutegemewa kuleta mabadiliko chanya!
 
Back
Top Bottom