K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Apr 20, 2025 #41 Tindo said: Dhuluma haina nguvu mbele ya haki, subiri mwaka huu utaona kitakachoumiza moyo wako. Click to expand... Ningependa tulijadili hili, lakini pengine ni mapema mno na ni kama kumwaga mtama mbele za kuku wenye njaa. Mbali ya kususia uchaguzi, jambo ambalo litawafurahisha sana CCM; kuna lipi tena la kutegemewa kuleta mabadiliko chanya!
Tindo said: Dhuluma haina nguvu mbele ya haki, subiri mwaka huu utaona kitakachoumiza moyo wako. Click to expand... Ningependa tulijadili hili, lakini pengine ni mapema mno na ni kama kumwaga mtama mbele za kuku wenye njaa. Mbali ya kususia uchaguzi, jambo ambalo litawafurahisha sana CCM; kuna lipi tena la kutegemewa kuleta mabadiliko chanya!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 21, 2025 #42 Muda utaongea... Cc: Mahondaw