Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,135
Habari wanaJF, Natanguliza shukrani.
Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C, KISWAHILI: B, ENGLISH: C, LITERATURE: C, CHEMISTRY: C, BIOLOGY: B, MATHEMATICS: D, PHYSICS: D).
Alipangiwa CBG...shule moja ipo singida inaitwa Mungu Maji Sekondary, baada ya majadiliano nyumbani tukakubaliana tumpeleke chuo hivi vya kati maana yeye binafsi iyo combination ya CBG haikuipenda na alitaka chuo kwamaan alijaza kwenye zile fomu za TCM-9 sema serikali hawakumchagua.
Anataka afya, Ndo nikasema niwaulize wadau maana humu kuna watu wa taaluma tofauti tofauti...KULINGANA NA SOKO LA AJIRA LA SASA KWA UZOEFU WENU TUMPELEKE AKASOMEE FANI IPI KATI YA HIZI WANDUGU...
(i) Clinical Dentistry
(ii) Diagnostic Radiotherapy
(iii) Occupational Therapy
(iv) Physiotherapy
(v) Clinical optometry
(vi) Dental Laboratory technology
(vii) Orthotics & Prosthetics
(viii) Health record & information
(ix) Electrical and Biomedical Engineering.