Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

Kwann asisome kozi za kilimo mifugo uvuvi diploma wanaajiriwa sn tu nata asipoajiriwa anakuwa yupo vzur kujiajiri mwenyew
Hizo za kilimo na mifugo hapana mkuu, maana juzijuzi tu NILIENDA KWENYE INTERVIEW UTUMISHI DODOMA KULE ASHA-ROSE MIGIRO....YANI WALIKUWA WENGI HAO WATU KWA WALE WA MIFUGO WALIKUWA 1600...NA NAFASI ZILIKUWA 30 TU. EBU IMAGINE😁😁😁
 
Kwann asisome kozi za kilimo mifugo uvuvi diploma wanaajiriwa sn tu nata asipoajiriwa anakuwa yupo vzur kujiajiri mwenyew
Hawa maisha yao hayana utofauti na walimu akili yao yote inalala kwenye ajira za serikali,serikali wasipotoa post ndio basi hawajui wafanye nini,na hata wakipata hizo posts za serikali mishahara inakuwa midogo halafu maisha yao ni vijijini ndanindani huko hata hawafurahii maisha.
 
Katika fani zote hizo ulizozitaja hapo azingatie hizi mbili tu yaani hiyo ya kwanza na ya mwisho ndio itampa maisha yaani itakuwa rahisi kupata ajira lakini hata asipopata ajira bado hatoyumba atakuwa na uwezo mkubwa wa kujiajiri mwenyewe na maisha yakaenda.
1.Clinical Dentistry
9.Electrical and Biomedical Engineering
Hizo zingine achana nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…