Asprin, teamo & the finest .... Katika kuadhimisha kifo cha mwl. Nyerere

mkuu watu hawaamini glass za bar, unakamata uhai ya baridi, then unaomba kisu jikoni unakata nusu inakuwa glass special!

lakini hizo konyagi na valuu hapo lazima upate temporary brain damage!

hahahaaaa.. hii kali!!!
 
Nakumbuka jana tulikutana kanisani mimi, TEAMO na ASPRIN kwa ajili ya kufanya maombezi
 
Jana nilikuwa kanisani hivi mnazungumzia nina hapa maana :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Endelea kutaja wengine...

Sometyms safari za kwenda huko zinaweza kuwa nyingi, so wanatafuta njia mbadala

Askofu unanionea bure tu mimi unanibambikizia dhambi jana nililia sana kwenye maombolezo ya baba wa taifa
 
Daah! Ni body Disastrous... Yaani ni pyua kwenda front..! Ama kweli walume ndago mlikirai for the Faza nesheni! Saludame..!
 
Askofu unanionea bure tu mimi unanibambikizia dhambi jana nililia sana kwenye maombolezo ya baba wa taifa
kumbe ni wewe nikuona unanena kwa lugha? hivi ulikuwa :A S-confused1: au uzalendo wako wa kulipa kodi?
 
Hivi leo ni Jumapili ya ngapi ya Mwaka B?
 
Kwani hao ndugu zetu wako wodini au pasimoto(mortuary)?
 
dah!.............
hili ni pigo la mwaka
 
kumbe ni wewe nikuona unanena kwa lugha? hivi ulikuwa :A S-confused1: au uzalendo wako wa kulipa kodi?

Kukemea mafisadi ambao baba wa taifa alikuwa anawachukia hata kanisa linajua jinsi gani jana nilivyojitoa siku nzima kwenye maombi
 
Raha si ndo huo mlio wa kengele kwenye medula?

Mateso bila chuki...

Askofu, umelisoma hili!! hiyo ndo raha yenyewe........lakini pia unapata sababu ya kunywa supu na kuzimua kesho yake!

Kwani huwezi kunywa supu bila hizo sumu?

Na afya inajengeka...

Unajenga au unabomoa?

Nakumbuka jana tulikutana kanisani mimi, TEAMO na ASPRIN kwa ajili ya kufanya maombezi

Kanisa gani?

Jana nilikuwa kanisani hivi mnazungumzia nina hapa maana :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:

Unajichanganya mwenyewe...

Askofu unanionea bure tu mimi unanibambikizia dhambi jana nililia sana kwenye maombolezo ya baba wa taifa

:mmph: Umejibiwa hapa chini

Kwa msaada wa konyagi na valuu...sio watu wa marekani!

:A S thumbs_up:
 
kumbe ni wewe nikuona unanena kwa lugha? hivi ulikuwa :A S-confused1: au uzalendo wako wa kulipa kodi?

Alikuwa anatumia Lugha gani?

Hivi leo ni Jumapili ya ngapi ya Mwaka B?

Swahiba wako kakujibu hapa chini (Sijui hizi ni jumapili zenu za kwenye vikao vyenu?)

Jumapili ya 29 si unakumbuka ile Injili iliyosomwa

dah!.............
hili ni pigo la mwaka

Pole Teamo... Umeamka salama?

Kukemea mafisadi ambao baba wa taifa alikuwa anawachukia hata kanisa linajua jinsi gani jana nilivyojitoa siku nzima kwenye maombi

Hata mi nimeona maombi yako... kuhamishia Distilaries tumboni mwako...
 
Back
Top Bottom