Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huruhusiwi asilani....hivi huoni hii siginecha takatifu? The Finest hapendi...Kwani huwezi kunywa supu bila hizo sumu?
Unajenga au unabomoa?
Kunywa valeur kwa wingi..........Ni dawa ya kuua minyoo!!:A S 103::A S 103::A S 103:
Askofu hebu nikumbushe ule wimbo wa katikati tuliomba imba jana baada ya maombi na ule wakati tunaenda kutoa sadaka
Huruhusiwi asilani....hivi huoni hii siginecha takatifu? The Finest hapendi...
^^^^^Bia moja supu ya nini?^^^^^
Unajenga.....hivi stoku yako ya mvinyo ikoje?
sio minyoo tu mkuu! ni dawa mbu pia, mbu hakatizi kwa body yenye valuer hata siku moja.......malaria free!Kunywa valeur kwa wingi..........Ni dawa ya kuua minyoo!!:A S 103::A S 103::A S 103:
Unataka kuzimulia Divai?:nono::nono::nono:
hii makitu ni kawaida kila nafasi inapopatikana bana!HIVI NYIE NDUNGU MPAKA SASA NO WAZIMA AMA MNAPUMUA KWA OXGEN?
hii sio kawaida utadhani nyama choma zimetandazwa mezani kumbe ulabu![]()
HIVI NYIE NDUNGU MPAKA SASA NO WAZIMA AMA MNAPUMUA KWA OXGEN?
hii sio kawaida utadhani nyama choma zimetandazwa mezani kumbe ulabu![]()
tumpelekee pipa mbili......za chupa tutaingia hasara, za box hawezi kunywa, zipo diluted sana!Askofu anahitaji kufanyiwa postmortem ya mwili wake tuone mwili wake una uwezo wa kuingiza vimiminika lita ngapi
Mkuu, mnakula nyara za serikali hapo, wagambo pori wakiwakamata itakuwa shughuli!Nyie wanywa mapombe makali, muwe mnakula MAFUTA MAFUTA mengi wakati mnakunywa hizo pombe kali.
Huku Sikonge huwa tunakula sana Nyama Pori wakati tunapata Gongo na Wanzuki.
Sasa makamuzi yoote hayo na mezani hamna hata kisahani kimoja?
Mnaonyesha mfano mbaya kwa watoto wangu...................
tumpelekee pipa mbili......za chupa tutaingia hasara, za box hawezi kunywa, zipo diluted sana!
Askofu anahitaji kufanyiwa postmortem ya mwili wake tuone mwili wake una uwezo wa kuingiza vimiminika lita ngapi
sio minyoo tu mkuu! ni dawa mbu pia, mbu hakatizi kwa body yenye valuer hata siku moja.......malaria free!
mkuu watu hawaamini glass za bar, unakamata uhai ya baridi, then unaomba kisu jikoni unakata nusu inakuwa glass special!
lakini hizo konyagi na valuu hapo lazima upate temporary brain damage!
hahahaaa! mkuu hiyo makitu unaweza kunywa stock yote ya bar........jaribu nyagi mix with mvinyo mweupe....weeeee!!!Askofu bwana eti alitaka valuuu iwe diluted na divai kupunguza ukali ndio anywe
ukifanya hivyo unatakiwa uwe na watu kama Asprin na Fidel na Roy na Finest a.k.a Ballantinesheee mbinu mpya, thnx! mie naishiaga kunywa na chupa tu, kila pafu ka lipshiner kamefutika unaweka kengine kadomo kackauke, kumbe kuna njia mbadala...lol...lakini imekaa kidume dume sana, yaani mie na kikopo cha uhai?..haahaaaa...