Assad kawatesa Sana Wasyria kwenye gereza la Sednaya

Umesahau hao wafungwa unaowaona ni zaidi ya 30,000.karibu wote walikuwa kwenye makundi ya kigaidi hasa Isis na alqaida/alnusra front. Umesahau wao walivyokuwa wanachinja watu kikatili, walikuwa wakiwaua wengine kinyama sana, ingia youtube kuanzia 2012 hadi 2016 ndio utawajua hao ni kina nani? Bila Russia kuingilia kati kuna vizazi vingekuwa vimeshafutwa na hao unaowaona.
Kumbuka kule kwa Yazid Irak waliua wanaume na watoto wa kiume wote nasema wote lengo ni kufuta kizazi cha wayazidi ambao wanasemekana ndio watu wenye muonekano mzuri kuliko wote Duniani.
Pia ndio kizazi pekee cha kikristo kilicho survive kwa zaidi ya miaka 2000.Wakawateka wanawake wote na kuwabaka ili wazae kizazi kipya kisicho cha wayazidi na mpaka sasa ipo hivyo. Kila mwanamke au binti wa kiyazidi amezalishwa kwa nguvu mbegu mpya.
Marekani inayokuonyesha hao wafungwa wa Syria yenyewe kwa kuwatumia Wakurdi kule kaskazini inashikiria wafungwa wa ISiS 50,000 hapo hapo ndani ya Syria. Can you imagine hali zao zipoje? Uturuki imeuteka jana mji wa Wakurdi wa Manbij marekani inahofu endapo uturuki ikiendeleza oparesheni zake watawaachia hao wafungwa wote zaidi ya 50,000 ambao Marekani imewafunga kwa kuwatumia Wakurdi.
Kwa hiyo Serikali ya Assad iliwafunga 30,000 lakini Marekani huyo huyo anayejifanya mwema anawashikiria kwenye magereza yake yaliyopo Syria hiyo hiyo more than 50,000 kule kaskazini ambako ameng'ang'ania hataki kuachia kwe visima vya mafuta anakojichotea tuu kama yake.
Hii Dunia ni ya kinafiki kinafiki kinafiki hasa western zaidi ya unayoyajua au kuyaona.
Humu kuna story nyingi za kwenye kahawa....cheki huu mkeka
 
Tukiwa hai hatujui hilo...
Na ndiyo maana mwenye Mali akifa ndugu kwa hasira huzitumia kwa mwezi mmoja.Lakini kama mtu aliishi nao vizuri hata kwa kiasi bas watawaangalia mpaka watoto wa marehemu
Ni sahihi
 
Umesahau hao wafungwa unaowaona ni zaidi ya 30,000.karibu wote walikuwa kwenye makundi ya kigaidi hasa Isis na alqaida/alnusra front. Umesahau wao walivyokuwa wanachinja watu kikatili, walikuwa wakiwaua wengine kinyama sana, ingia youtube kuanzia 2012 hadi 2016 ndio utawajua hao ni kina nani? Bila Russia kuingilia kati kuna vizazi vingekuwa vimeshafutwa na hao unaowaona.
Kumbuka kule kwa Yazid Irak waliua wanaume na watoto wa kiume wote nasema wote lengo ni kufuta kizazi cha wayazidi ambao wanasemekana ndio watu wenye muonekano mzuri kuliko wote Duniani.
Pia ndio kizazi pekee cha kikristo kilicho survive kwa zaidi ya miaka 2000.Wakawateka wanawake wote na kuwabaka ili wazae kizazi kipya kisicho cha wayazidi na mpaka sasa ipo hivyo. Kila mwanamke au binti wa kiyazidi amezalishwa kwa nguvu mbegu mpya.
Marekani inayokuonyesha hao wafungwa wa Syria yenyewe kwa kuwatumia Wakurdi kule kaskazini inashikiria wafungwa wa ISiS 50,000 hapo hapo ndani ya Syria. Can you imagine hali zao zipoje? Uturuki imeuteka jana mji wa Wakurdi wa Manbij marekani inahofu endapo uturuki ikiendeleza oparesheni zake watawaachia hao wafungwa wote zaidi ya 50,000 ambao Marekani imewafunga kwa kuwatumia Wakurdi.
Kwa hiyo Serikali ya Assad iliwafunga 30,000 lakini Marekani huyo huyo anayejifanya mwema anawashikiria kwenye magereza yake yaliyopo Syria hiyo hiyo more than 50,000 kule kaskazini ambako ameng'ang'ania hataki kuachia kwe visima vya mafuta anakojichotea tuu kama yake.
Hii Dunia ni ya kinafiki kinafiki kinafiki hasa western zaidi ya unayoyajua au kuyaona.
wewe ni big sucker
 
Mimi sishangai hata kidogo, waarabu ni jamii ya watu wakatili sana duniani na hilo halina ubishi.

Kumbuka wakati wa biashara yao haramu ya utumwa ukatili waliofanyiwa mababu zetu kama kutobolewa visigino na kuingiziwa minyororo ili wasiweze kutoroka kwenye msafara wa kupelekwa Bagamoyo.

Kibaya zaidi watumwa vijana wa kiume walihasiwa mithili ya ng'ombe ili wasiweze kuzaa huko uarabuni na Asia walikokuwa wakipelekwa utumwani.

Angalia leo wanavyoweza kujilipua na mabomu na kuua watu hovyo kisa tu kutimiza malengo yao ya kiimani na kwa kweli ni jamii moja ya watu wa hovyo sana.

Wao kwa fikra yao finyu wanatamani kila mtu duniani awe anafuata utamaduni wao wa karne ya saba na kama unakataa adhabu yako iwe ni kukatwa kichwa kwa jina la mungu wao anayeitwa allah. Bure kabisa.
 
Wanao uwana kwa ajili ya madaraka ni waarabu tu?
 
Ni kweli. Mpaka leo dada zetu wanaopelekwa Uarabuni eti ajira za ndani, wanafanywa watumwa wa ngono, wanapigwa, wananyimwa mishahara na kunyang'anywa passport. Waarabu ni wanyama wa hovyo.
 
Kuna mfungwa mmoja gereza lilivyofunguliwa akakimbia kuelekea wafungwa wenzake wanapoelekea. Akafika nje akaona raia wanashangilia, akaja kuuliza kipi kimetokea huku anachechemea, akajibiwa serikali imeanguka. Akaangua kicheko cha furaha huku anakimbia.

Mwingine alipofunguliwa akaja na hofu akidhani Saddam Hussein kavamia nchi. Hajui kwamba Saddam alishakufa miaka zaidi ya 20 nyuma. Wengine inasemekana hawakuwa wanajua hata kama Assad senior aliishafariki na aliyeondolewa ni mtoto wake.

Humo kwenye gereza kulikuwa na magaidi, wakosoaji wa serikali, ISIS, Islamic extremists, wapinzani, waasi. Walikuwemo wema na wabaya.

Hata serikali ijayo ya Syria itakuwa na gereza kubwa na itafunga maelfu ya watu na itaua sana. Middle East ina maisha yake yasiyobadilika. Watu wamepinda, serikali lazima ipinde kama wao.
 
Lakini huko ndio sehemu nzuri ya kwenda kuchukua watoto wa kiarabu, na kuwaleta Bongo...
 
Mimi sishangai hata kidogo, waarabu ni jamii ya watu wakatili sana duniani na hilo halina ubishi.

Kumbuka wakati wa biashara yao haramu ya utumwa ukatili waliofanyiwa mababu zetu kama kutobolewa visigino na kuingiziwa minyororo ili wasiweze kutoroka kwenye msafara wa kupelekwa Bagamoyo.

Kibaya zaidi watumwa vijana wa kiume walihasiwa mithili ya ng'ombe ili wasiweze kuzaa huko uarabuni na Asia walikokuwa wakipelekwa utumwani.

Angalia leo wanavyoweza kujilipua na mabomu na kuua watu hovyo kisa tu kutimiza malengo yao ya kiimani na kwa kweli ni jamii moja ya watu wa hovyo sana.

Wao kwa fikra yao finyu wanatamani kila mtu duniani awe anafuata utamaduni wao wa karne ya saba na kama unakataa adhabu yako iwe ni kukatwa kichwa kwa jina la mungu wao anayeitwa allah. Bure kabisa.
Biashara ya utumwa ilifanywa na waarabu tu.?
Babu zako walienda U.S.A, U. K kutafuta maisha..?
 
Nina fuatilia hapa Al Jazeera kuhusu yaliyokuwa yanafanyika kwenye gereza la Sednaya nadhani Assad alikuwa mtu katili Sana. Ndio maana wasyria wameshangilia Sana. Leo halaiki ya watu walifika kwenye gereza la Sednaya kuona kama ndugu zao bado wapo. Ila kwa masikitiko wengi hawapo aidha walikufa kwa mateso au waliuawa na askari wa Assad. Nimejiuliza kwa Nini waarabu wanachukiana hivi?. Unabadilisha gereza kuwa machinjio ya raia wako. Kweli Assad hafai kabisa.

Ukisikiliza shuhuda za hapo utashangaa Sana. Watu walikatwa miguu na wengine kuuawa. Kuna wengine wamepotea kabisa . Inadaiwa wafungwa karibia 1000 waliuawa kwenye kipindi Cha Assad. Huyu hakuwa binadamu wa kawaida .
Wewe punguani sana unamlaumu Assad kisha unamshabikia Netanyahu mateso anayaowapa wapalestina wewe unaona ni sawa pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom