Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Huku watu wanaangalia CNN na BBC na mitandao kiasi kwa hiyo pumba zote zinaokotwa hukoNdg yangu sisi tumeishi Iran Kwa muda sasa. Kama miaka 11. Kwa sasa kuna taharuki kubwa Sana huku. Waafrika wengi wameanza kung'oa hususan wanaotoka nchi zinazoongea kingereza. Nikipata muda nitawaeleza NI Kwa nn. Mtashangaa Sana. Kuna mengi wanaafrika hawajui
Na wengi ni washabiki tu wa dini au rangi