Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni ukweli mtupu huuTukiwa hai hatujui hilo...
Na ndiyo maana mwenye Mali akifa ndugu kwa hasira huzitumia kwa mwezi mmoja.Lakini kama mtu aliishi nao vizuri hata kwa kiasi bas watawaangalia mpaka watoto wa marehemu
CCMWanao teka,kutesa kuuwa watu kisa madaraka ni waarabu tu?
Njaa kaliSyria ilkkuwa zaidi ya Rwanda na Uganda
Humu kuna story nyingi za kwenye kahawa....cheki huu mkekaUmesahau hao wafungwa unaowaona ni zaidi ya 30,000.karibu wote walikuwa kwenye makundi ya kigaidi hasa Isis na alqaida/alnusra front. Umesahau wao walivyokuwa wanachinja watu kikatili, walikuwa wakiwaua wengine kinyama sana, ingia youtube kuanzia 2012 hadi 2016 ndio utawajua hao ni kina nani? Bila Russia kuingilia kati kuna vizazi vingekuwa vimeshafutwa na hao unaowaona.
Kumbuka kule kwa Yazid Irak waliua wanaume na watoto wa kiume wote nasema wote lengo ni kufuta kizazi cha wayazidi ambao wanasemekana ndio watu wenye muonekano mzuri kuliko wote Duniani.
Pia ndio kizazi pekee cha kikristo kilicho survive kwa zaidi ya miaka 2000.Wakawateka wanawake wote na kuwabaka ili wazae kizazi kipya kisicho cha wayazidi na mpaka sasa ipo hivyo. Kila mwanamke au binti wa kiyazidi amezalishwa kwa nguvu mbegu mpya.
Marekani inayokuonyesha hao wafungwa wa Syria yenyewe kwa kuwatumia Wakurdi kule kaskazini inashikiria wafungwa wa ISiS 50,000 hapo hapo ndani ya Syria. Can you imagine hali zao zipoje? Uturuki imeuteka jana mji wa Wakurdi wa Manbij marekani inahofu endapo uturuki ikiendeleza oparesheni zake watawaachia hao wafungwa wote zaidi ya 50,000 ambao Marekani imewafunga kwa kuwatumia Wakurdi.
Kwa hiyo Serikali ya Assad iliwafunga 30,000 lakini Marekani huyo huyo anayejifanya mwema anawashikiria kwenye magereza yake yaliyopo Syria hiyo hiyo more than 50,000 kule kaskazini ambako ameng'ang'ania hataki kuachia kwe visima vya mafuta anakojichotea tuu kama yake.
Hii Dunia ni ya kinafiki kinafiki kinafiki hasa western zaidi ya unayoyajua au kuyaona.
Biashara na utaliiUlikuwa unafanta shughuli zipi huko mkuu
Guantanamo walishalifunga hilo gereza.Hata USA inatesa huko Guantamo
😆😆Njaa kali
Kama Ununio?Hata USA inatesa huko Guantamo
Ni sahihiTukiwa hai hatujui hilo...
Na ndiyo maana mwenye Mali akifa ndugu kwa hasira huzitumia kwa mwezi mmoja.Lakini kama mtu aliishi nao vizuri hata kwa kiasi bas watawaangalia mpaka watoto wa marehemu
wewe ni big suckerUmesahau hao wafungwa unaowaona ni zaidi ya 30,000.karibu wote walikuwa kwenye makundi ya kigaidi hasa Isis na alqaida/alnusra front. Umesahau wao walivyokuwa wanachinja watu kikatili, walikuwa wakiwaua wengine kinyama sana, ingia youtube kuanzia 2012 hadi 2016 ndio utawajua hao ni kina nani? Bila Russia kuingilia kati kuna vizazi vingekuwa vimeshafutwa na hao unaowaona.
Kumbuka kule kwa Yazid Irak waliua wanaume na watoto wa kiume wote nasema wote lengo ni kufuta kizazi cha wayazidi ambao wanasemekana ndio watu wenye muonekano mzuri kuliko wote Duniani.
Pia ndio kizazi pekee cha kikristo kilicho survive kwa zaidi ya miaka 2000.Wakawateka wanawake wote na kuwabaka ili wazae kizazi kipya kisicho cha wayazidi na mpaka sasa ipo hivyo. Kila mwanamke au binti wa kiyazidi amezalishwa kwa nguvu mbegu mpya.
Marekani inayokuonyesha hao wafungwa wa Syria yenyewe kwa kuwatumia Wakurdi kule kaskazini inashikiria wafungwa wa ISiS 50,000 hapo hapo ndani ya Syria. Can you imagine hali zao zipoje? Uturuki imeuteka jana mji wa Wakurdi wa Manbij marekani inahofu endapo uturuki ikiendeleza oparesheni zake watawaachia hao wafungwa wote zaidi ya 50,000 ambao Marekani imewafunga kwa kuwatumia Wakurdi.
Kwa hiyo Serikali ya Assad iliwafunga 30,000 lakini Marekani huyo huyo anayejifanya mwema anawashikiria kwenye magereza yake yaliyopo Syria hiyo hiyo more than 50,000 kule kaskazini ambako ameng'ang'ania hataki kuachia kwe visima vya mafuta anakojichotea tuu kama yake.
Hii Dunia ni ya kinafiki kinafiki kinafiki hasa western zaidi ya unayoyajua au kuyaona.
Wanao uwana kwa ajili ya madaraka ni waarabu tu?Mimi sishangai hata kidogo, waarabu ni jamii ya watu wakatili sana duniani na hilo halina ubishi.
Kumbuka wakati wa biashara yao haramu ya utumwa ukatili waliofanyiwa mababu zetu kama kutobolewa visigino na kuingiziwa minyororo ili wasiweze kutoroka kwenye msafara wa kupelekwa Bagamoyo.
Kibaya zaidi watumwa vijana wa kiume walihasiwa mithili ya ng'ombe ili wasiweze kuzaa huko uarabuni na Asia walikokuwa wakipelekwa utumwani.
Angalia leo wanavyoweza kujilipua na mabomu na kuua watu hovyo kisa tu kutimiza malengo yao ya kiimani na kwa kweli ni jamii moja ya watu wa hovyo sana.
Wao kwa fikra yao finyu wanatamani kila mtu duniani awe anafuata utamaduni wao wa karne ya saba na kama unakataa adhabu yako iwe ni kukatwa kichwa kwa jina la mungu wao anayeitwa allah. Bure kabisa.
Ni kweli. Mpaka leo dada zetu wanaopelekwa Uarabuni eti ajira za ndani, wanafanywa watumwa wa ngono, wanapigwa, wananyimwa mishahara na kunyang'anywa passport. Waarabu ni wanyama wa hovyo.Mimi sishangai hata kidogo, waarabu ni jamii ya watu wakatili sana duniani na hilo halina ubishi.
Kumbuka wakati wa biashara yao haramu ya utumwa ukatili waliofanyiwa mababu zetu kama kutobolewa visigino na kuingiziwa minyororo ili wasiweze kutoroka kwenye msafara wa kupelekwa Bagamoyo.
Kibaya zaidi watumwa vijana wa kiume walihasiwa mithili ya ng'ombe ili wasiweze kuzaa huko uarabuni na Asia walikokuwa wakipelekwa utumwani.
Angalia leo wanavyoweza kujilipua na mabomu na kuua watu hovyo kisa tu kutimiza malengo yao ya kiimani na kwa kweli ni jamii moja ya watu wa hovyo sana.
Wao kwa fikra yao finyu wanatamani kila mtu duniani awe anafuata utamaduni wao wa karne ya saba na kama unakataa adhabu yako iwe ni kukatwa kichwa kwa jina la mungu wao anayeitwa allah. Bure kabisa.
Bila shaka jamaa ni Mpiganaji...Jina lenyewe tu ni Black Sniper.....Ulikuwa unafanta shughuli zipi huko mkuu
Biashara ya utumwa ilifanywa na waarabu tu.?Mimi sishangai hata kidogo, waarabu ni jamii ya watu wakatili sana duniani na hilo halina ubishi.
Kumbuka wakati wa biashara yao haramu ya utumwa ukatili waliofanyiwa mababu zetu kama kutobolewa visigino na kuingiziwa minyororo ili wasiweze kutoroka kwenye msafara wa kupelekwa Bagamoyo.
Kibaya zaidi watumwa vijana wa kiume walihasiwa mithili ya ng'ombe ili wasiweze kuzaa huko uarabuni na Asia walikokuwa wakipelekwa utumwani.
Angalia leo wanavyoweza kujilipua na mabomu na kuua watu hovyo kisa tu kutimiza malengo yao ya kiimani na kwa kweli ni jamii moja ya watu wa hovyo sana.
Wao kwa fikra yao finyu wanatamani kila mtu duniani awe anafuata utamaduni wao wa karne ya saba na kama unakataa adhabu yako iwe ni kukatwa kichwa kwa jina la mungu wao anayeitwa allah. Bure kabisa.
Wewe punguani sana unamlaumu Assad kisha unamshabikia Netanyahu mateso anayaowapa wapalestina wewe unaona ni sawa pumbavu kabisa.Nina fuatilia hapa Al Jazeera kuhusu yaliyokuwa yanafanyika kwenye gereza la Sednaya nadhani Assad alikuwa mtu katili Sana. Ndio maana wasyria wameshangilia Sana. Leo halaiki ya watu walifika kwenye gereza la Sednaya kuona kama ndugu zao bado wapo. Ila kwa masikitiko wengi hawapo aidha walikufa kwa mateso au waliuawa na askari wa Assad. Nimejiuliza kwa Nini waarabu wanachukiana hivi?. Unabadilisha gereza kuwa machinjio ya raia wako. Kweli Assad hafai kabisa.
Ukisikiliza shuhuda za hapo utashangaa Sana. Watu walikatwa miguu na wengine kuuawa. Kuna wengine wamepotea kabisa . Inadaiwa wafungwa karibia 1000 waliuawa kwenye kipindi Cha Assad. Huyu hakuwa binadamu wa kawaida .