Assad kawatesa Sana Wasyria kwenye gereza la Sednaya

Huku watu wanaangalia CNN na BBC na mitandao kiasi kwa hiyo pumba zote zinaokotwa huko
Na wengi ni washabiki tu wa dini au rangi
 
Huku watu wanaangalia CNN na BBC na mitandao kiasi kwa hiyo pumba zote zinaokotwa huko
Na wengi ni washabiki tu wa dini au rangi
Mkuu, inamaana Waingereza ni wajinga kiasi hicho?!

Basi hawana tofauti na Level yetu ya Kizezeta.
 
Nlichogundua nchi zaa kiarabu haziwezi tawalika bira mkono wa chuma.
 
nani kakwambia gerezani pahala pa starehe, gereza lolote ni sehemu ya kutumikia adhabu kulingana na kosa ulilofanya, kama kunyonga ata nchi zetu bado tuna adhabu ya kunyonga na kuua,
kusema asad alikua katili sababu chini ya utawala wake kulikua na magereza ya kunyongea inashangaza.
 
History is not almost the story
 
Na ukute alikuwa hapitwi na sala
Nataman wangemkamata wakamuua shetan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…