At their peaks,nani alikuwa mkali zaidi...Marlaw Vs Mb Dogg?

At their peaks,nani alikuwa mkali zaidi...Marlaw Vs Mb Dogg?

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva
Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi?

Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama
-Latifa
-Si uliniambia
-Mapenzi kitu gani
-Natamani
-Inamaana

kwa upande wa Marlaw
-Rita
-Bembeleza
-Pi Pii
-Busu la pink
-Bado umenuna
 
Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva
Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi?

Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama
-Latifa
-Si uliniambia
-Mapenzi kitu gani
-Natamani
-Inamaana

kwa upande wa Marlaw
-Rita
-Bembeleza
-Pi Pii
-Busu la pink
-Bado umenuna
Marlaw alikimbiza sana kipindi kile! Pipiiii, busu la pink na bembeleza zilibamba mno!
 
Daaah yaani hapo pagumu, ukikumbukia na kiitikio cha Producer Dunga.. Dumba dumba nikadumbe😅
..Ukitaka twende afrika, ukitaka twende america.
Natamani nikuone sijui nitakuona vipi..

Btw Kwangu niseme wote wanamashairi matamu ila Mb mbwa alikua na Hit song nyingi zaidi ya Hubby wake Betha...ila kwa Sauti nzuri Marlaw anamzidi MbDog
 
Daaah, kuna watu mnajua kulingajisha mbingu na ardhi[emoji1]


Kwanza Dogg ana hits nyingi kushinda Marlaw.

Hilo tuu linatosha kuhitimisha mjadala.

Leo ukinipigia Bembeleza, Pii pii, Bado Umenuna, Rita hata sishtuki kiviiilee.

Ila ikipigigwa Latifah, Si Uliniambia, Natamani, Sagablasha lazima niinuke.


Unforgettable
 
Hii kitu ata ingetoka 2022 bado ingekimbiza.


C564D8D8-A68E-4768-846D-076F4815DD19.jpeg
 
kuna moja anadai ya kwamba mademu wengi wanamshobokea sababu ana jina ila yule demu anayemuelewa hamtaki
hii ngoma nasikia ilikuwa dedication kwa nancy sumari,kwa mujibu wa wana JF waliokuwepo Daslamu miaka hiyo
[emoji2][emoji2][emoji2]sio wana jf wa miaka hyo!ndo ukweli ulivyo!alimkataa live kabisa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom