At their peaks,nani alikuwa mkali zaidi...Marlaw Vs Mb Dogg?

At their peaks,nani alikuwa mkali zaidi...Marlaw Vs Mb Dogg?

ingawaje Marlaw alikuwa ni msanii mkali na mwenye sauti nzuri na mashairi makali, ila hii thread ilipaswa kumlinganisha Mb-dog na Matonya kwa kipindi kile
Hata Matonya bado hatoshi kwenye mzani wa MB-dog. Huyu jamaa alikua na utitiri wa hitsongs, na mziki wake unaishi mpaka leo.

Leo hii ikipigwa Latifa, au Mapenzi ni kitu gani, kama unaujua mziki mzuri lazima umpe jamaa heshima yake!
 
Nikiweka Ushabiki wangu kwa marlaw pembeni. Mb dog anatakiwa kuwekwa na G.O.A.T wenzake maana alikuja na sound yake ambayo nadhani ndio foundation ya hizi nyimbo za mapenzi unazosikia leo,

hata Ukiiweka bongo flava katika Major Eras ,

1. (Kabla ya 2005)
Era ya Different tunes yaani kila mmoja aliimba kwa tune yake Dully sykes, Lady jay dee,TID, Q chief, Ray C , Juma nature, Stara thomas etc (Bongo flava halisi, Zouk, Rhumba, Rnb).. hili ndo kundi la waasisi "Era ya passion na muziki mzuri"

2. (2004 - mwanzoni mwa 2010)
Era ya Mb dog maana watu wote waliofuatia kama kama Kassim, Z anto, Ali kiba, Rich mavoko, Diamond (wa mwanzoni) walipita katika njia zake. Hata tune nyingi za leo ni kama zimetokea kwake

3. (Mwanzoni mwa 2010 hadi 2015)
Era ya T.H.T ama Ruge mutahaba, huyu hakuwa msanii ila alikuja na wasanii kama Barnaba, Ditto, Mwasiti, Amini, Marlaw, Maunda Zorro, Vumilia.. Ambao walikuja na muziki ambao ni rafiki zaidi kwa live band tofauti na ala ya Mb Dog

4. (2015 hadi sasa)
Tupo Kwenye Era Ya Commercial music ikiongozwa na Diamond platnumz.. Kinaimbwa kinachouza, haiangaliwi ladha ya muziki inaangaliwa investment and return. Watu wanatengeneza makundi na labels ili wasurvive maana muziki umekuwa expensive.. Watu kama marioo wenye multiple talents kubwa na back up ndio wanaweza kusurvive

Kwa kuangalia hili, Mb Dog anahitaji competition na watu walioleta impact kwenye muziki kwa ujumla kwa hiyo marlaw sio fit kwake.. Anahitaji Hall of fame
 
Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva
Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi?

Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama
-Latifa
-Si uliniambia
-Mapenzi kitu gani
-Natamani
-Inamaana

kwa upande wa Marlaw
-Rita
-Bembeleza
-Pi Pii
-Busu la pink
-Bado umenuna
Kwangu Marlow ndiye ninaye mkubali na nyimbo ninayo ikubali sana ni bado umenuna.
 
Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva
Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi?

Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama
-Latifa
-Si uliniambia
-Mapenzi kitu gani
-Natamani
-Inamaana

kwa upande wa Marlaw
-Rita
-Bembeleza
-Pi Pii
-Busu la pink
-Bado umenuna
MB Dog ni next level kwa Marlaw
 
Bora Mb dog na matonya...
Mb dog alikuwa hatari..Latifa-mb dog ft madee.. pia siulinambi.. hatari
 
Mb doggy labda na Matonya ila kumfananisha vitu sijui marlawa kumkosea heshima
 
Dog alikuwa na Moto Sana ,marlaw Ni mdogo Mara 10000 kwa dogo ,so heshima ifuate mkondo wake .
Jamaa alikua wa kipekee Sana had Leo ngoma zake zinaishi
 
MB dog ni mwamba hatarii sana kwa kifupi ni game changer ngoma zake ukizisikiliza hadi leo unaenjoy mziki mzurii
 
Back
Top Bottom