Marlaw alikimbiza sana kipindi kile! Pipiiii, busu la pink na bembeleza zilibamba mno!Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva
Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi?
Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama
-Latifa
-Si uliniambia
-Mapenzi kitu gani
-Natamani
-Inamaana
kwa upande wa Marlaw
-Rita
-Bembeleza
-Pi Pii
-Busu la pink
-Bado umenuna
Mb mbwa alikuwa hatare chaufupi yule, yupo vizuri sana, nakumbuka ngoma ya Latifa niliipenda sanaaMalima hawezi kufikia ubora wa MB Mbwa hata angeungana na serikali wakati huo.
MB Mbwa alikuwa moto wa kuotea mbali.
kuna moja anadai ya kwamba mademu wengi wanamshobokea sababu ana jina ila yule demu anayemuelewa hamtakiSi uliniambia kwamba wajaaaaaaa
Ingekimbiza sana, manake hatuelewi Mapiano yanayoimbwa na wasanii wa sasa...
[emoji2][emoji2][emoji2]sio wana jf wa miaka hyo!ndo ukweli ulivyo!alimkataa live kabisa!!!kuna moja anadai ya kwamba mademu wengi wanamshobokea sababu ana jina ila yule demu anayemuelewa hamtaki
hii ngoma nasikia ilikuwa dedication kwa nancy sumari,kwa mujibu wa wana JF waliokuwepo Daslamu miaka hiyo
Hampati hataaa..nuksi mb mbwa!SagaplashaaaMkuu ni kwamba umelewa au nini?
Unampata huyo anayejiita mbwa kweli?
Mkuu asante sanaaa, hiyo cover imenisaidia kupata ngoma niliyokuwa naitafuta sanaaaaa sanaaaa, hiyo inayoitwa Ishik Chandeni.