At their peaks,nani alikuwa mkali zaidi...Marlaw Vs Mb Dogg?

dah, Mb mbwa alipendwa sana na ma sista du,huwa naona wanacomment youtube huko ila ni ajabu akapigwa chini😂
Tale,bwana fela na ndugu suka huu umoja ulipoteza vipaji vingi sana so sad,
Ukipishana nao t huna lako
 
Umemaliza kila kitu mkuu mb dog ndo godfather wa mziki wa kuimba kulia lia bongo hii,,
 
ingawaje Marlaw alikuwa ni msanii mkali na mwenye sauti nzuri na mashairi makali, ila hii thread ilipaswa kumlinganisha Mb-dog na Matonya kwa kipindi kile
Ni kweli,
Mb Dog vs Matonya hapo wengi tungekuna vichwa,
Wote nawapenda tho Matonya ningempa kura yangu.
 
Mb Dog afananishwe na Matonya au Z. Anto, huyo Marlaw ni kumuonea. Mb dog aliimba sana enzi zake, kwamim naweza kumuweka top 10 ya wasanii bora wa muda wote Bongo
 
MB Dogg na Marlaw, kuwashindanisha sio kivile kwani Dogg alikuwa ni habari nyingine labda Matonya itamake sense sababu kipindi kile alitoa albamu yake ile yenye vaileth na akahit sana

ila bado MB Dogganafunika wote hao, hata kiuandishi nilipata kusikia Fayher G anasema aliiandika albamu yote ya Matonya ukiacha wimno wa Vaileth ambao inasadikiwa kauandika Tundaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…