Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Yeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae.
Kwani mkuu watu kuandamana si haki yao kikatiba au kwasababu wewe katiba kuivunja huoni shida?

Kama unaona maandamano ni kitu kibaya peleka muswada bungeni wa mabadiliko ya katiba ili kifungu hicho kifutwe.

Unadhani watu wawe serious kabisa na jambo lao la kuandamana kuna dola inayoweza kuzuia? Usijidanganye mkuu.
 
Yeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae.
Halafu sijui kwanini serikali inachezeshwa shere na wapinzani na wao wanajaa kwenye mkenge kwa kutumia gharama kubwa kukusanya asikari kutoka sehemu mbalimbali nchini kuzuia maandamano yaliyo katika katiba.

Asikari wamekula perdiem zao ambazo pengine zingesaidia kuleta maendkwenye nyanja nyingine.

Sasa kwa mtindo huu upinzani wanaweza wakawa wanawaingiza kwenye mkenge kila mara ili msiwe bize na mambo mengine.
 
Tatizo kubwa la chadema ni kuendekeza ukabila kuwa wachagga haswa wa machame ndio cream ya nchi ,jamani hii nchi ina makbila zaidi ya 120 ,haitaka itokee hii saccos ikaongoza nchi yetu.NEVER
Sema tu mie huwa sipendi unakuta kiongozi anahutubia mbele unakuta huku nyuma wafuasi wanaitikia AMINA! AMENI! EIMENI Sasa hiwa najiuliza hivi hiki ni chama cha siasa au kikundi cha dini? Hapo tu siwaelewagi hawa CHADEMA
 
Au wanapojiita makamanda huwa wanaimanisha nini ?hii ya dini wanadanganywa na yule Askof Shoo
 
Ni kweli kabisa, dawa ya meno ukiikamua bila kufungua kizibo, inatokea popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…