Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Nimesoma hii taarifa neno kwa neno, mstari kwa mstari, lengo kujua alietoa tamko hili zito na la kibabe hivi nani, kumbe joshua_ok
Hahahhaaaa joshua bana.
 
Hii ni hadaa ya mwaka! Saudia ana nguvu gani za kupiga na adui wake wa kweli? Kama mpaka sasa inapelekeshwa puta na kanchi kadogo kamaYemen kasiko kuwa najeshi to speak about hakana resources zozote za maana leo hii Saudia ndiyo ijitie kukomalia nchi kama Iran,Qatar,Syrian nk.

Kwanza Wanajeshi wakupigana
watawatoa wapia? Au watatumia wanajeshi wa kukodi -Taifa lililozoea starehe na kufanyiwa kazi na wageni alina uwezo wakupigana na majeshi mahili - nani ambaye hajui Wasaudia walivyobweteka.

Saudia inajifanya ngangali wakitegemea kusaidiwa na USA mambo yakiwaendea vibaya - swali ni,je, America inaweza kweli kukubali kugharimia adventures za Saudia zisizo na mshiko/kichwa wala miguu zaidi ya kutaka kulinda Ufalme wa koo moja unao tawala
bila yakuwa na ridhaa ya wanachi wa Saudia -hawakuchaguliwa kidemokrasia hata kidogo,wako radhi Taifa lao liangamie kwa kulinda Utawala wa Kifalme husiondolewa madarakani kwa nguvu za wananchi walio choshwa kutawaliwa kiguvu na ukatili husio kifani
 

Si unajua tena Mkuu, Waafrika kazi yetu ni kuganga njaa - we mambo ya Mashariki ya kati Sudan na Somalia yanawahusu nini????
 
Mkuu nchi kama saudia haina njaa kama sisi,wanaongoza kwa kutoa mafuta duniani,jaribu kufanya re_search kabla ya kuandika.
Ha ta msipokwenda kuhiji miaka 200 hamtaiathiri saudia kivyovyote.
Kuhiji hawajakulazimisha na wakitaka wanaweza hata kuwalipia mkahiji bureee.
 
Waanze kuwasaidia Waarabu wenzao toka SYRIA wanaodhalilika njiani wakililia kufika Ulaya. Wakimaliza Wafanye Hijja bure
 
Reactions: PNC
Saudia ni ndugu zetu wa damu nakumbuka walipata msiba Tulienda kutoa pole Riyadh. Takbiiir
 
[emoji15] [emoji2] mbona hujamalizia kugharamia magaidi ya ISIS mashariki ya Kati yote mpaka yemeni yanayochinja watu Kama kuku....kwa maelekezo ya Marekani mkuu...
 
Saudia ingekuwa taasisi tungeiita BAKWATA
1.Ukiacha Hijja inawasaidia nini Waislam
2.Terrorism Breeding
Nani asiyelijua hili ?
3.Palestine
Hivi Palestine na unyonge wao sio tu Saudia imeshindwa kuwasaidia bali inawakandamiza
4.Fitna
Fitna ya Saudia ilikuwa wazi Egypt kumng'oa Morsi
Iko wazi Qatar
Iko wazi Lebanon
Iko wazi Yemen
Iko wazi Somalia
Badala ya Saudia kuwa mpatanishi wanakuwa wapiganishi
5.Ukike
Saudia imekuwa kama Mwanamke kwa US inaingia popote pale inapopataka
Yaani US ndio mlinzi mkubwa wa Saudia
6.Misaada
Wanayoitoa ni ya kitoto yaani tende na makombo ya mbuzi na ngamia
7.Utengano
Miaka ya 90 kurudi nyuma waislam wa EA soote tulikifunga na kufungua mwezi wa Ramadhan bila tofauti baada ya 1990's vijana wengi kutoka kusoma Saudia ndio zikaanza hizi tofauti za kijinga
Nakumbuka ktk kipindi kimojawapo cha "Jenerali on Monday" mmojawapo wa Sheikh aliyesomea huko alipobanwa sana alikiri kwamba wanapokea tarehe ya kufunga na kufungua toka Saudi for the sake of maintaining muslim unity
Akaulizwa tena unity gani ambayo haiwahusishi wengine akabaki anakodoa
Hawa vijana waliosoma huko a minor difference tayari anakuita Kafiri
 
Saudia Nakupenda kwa moyo wote
 
Sawa ukisha malza kuwa bomoa usisahau kuleta mlejesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]




We ni TAIRAAAA[emoji41]
 
Ya Tanzania tu yanawashinda sembuse ya Saudia. Watanzania kwa mbwembwe na maneno hatujambo
Dunia ya sasa hivi imekuwa kijiji,huu ni mtandao wa kijamii kama mitandao mingine hivyo si lazima kuongelea ya Tanzania,unachokiandika hapa mtu sehemu yeyote ile duniani anachangia na anasoma na si kila mtu humu udhani ni mtanzania wengine ni wa mataifa.
Mbon a instagram hawatumii us pekee?
Mkuu usifikiri internet ni radio,tena hata redio siku hizi kuna tune in.
 
Mkuu vp msha mbomoa anaye igusa saudia🤣🤣🤣[emoji23] ayo ni maneno ya kwenye kanga tena kutoka kwa mwanaume wa kibiti
 
Wakishaanza tu kupigana tunabomoa ile dome of rock pale jerusalem na tunasimamisha hekalu pale
 
Upo na nan kweny kulifuta ilo taifa litakalo ipiga saudia katika USO wa dunia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…