Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Duh.
Tamko lako limefkaa
Tamko lako limefkaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghadaf alikua ni Pimbi tu.Wahabis kuanzia Pakistan,Yemen Somali nk,wamechukua elimu ya uislam kutoka Saudia,Saudia haisaidii chochote Duniani haitoi msaada wowote wa Kijamii,huko zanzibar sijasikia Msaada wowote wa kijamii isipokuwa nyama ya ngamia kwa misikiti michache....,Hawa wasaudia ndio wanaoleta balaa lote hili Duniani.
Marehemu Muamar Ghadafi ameshawahi kuwambia waichie Makka na Madina iwe na utawala wake,nje ya utawala UFalme wa Saudia kama vile ilivyo Vatican na Italia,,Hiyo ndio uliyomfanya Ghadafi apotee baada ya Saudi Arabia kuwatilia fitna kwa mataifa ya Magharibi....
Wewe au wao acheni mihemkoMtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Wewe na nani?Mnafiki Qatar kajileta kwenye 18 tutambamiza hataamini.
Nilidhani ni kauli anaitoa kaka yake AMERIKA...!Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Hata pepon hutaweza kukaa wwsaudi arabia aisee hata bure kule siendi nchi imejaa uzandiki ile balaa
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu na pia lazima ihamasishe upendo, na amani. Ikiwa kinyume na hapo ni kikundi cha kigaidi. Huwezi kumuita mwenzako kafiri kwa sbb ya dini. Hakuna dini ya Mungu na Mungu hana dini.Kafiri wewe, mbona nyie mnaabudu sanamu na tumenyamaza tu