Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Ishu ya yule kanjanja imetengeneza kuchafua taifa teule. HATUKUBALI
 
Kwa vile kila damu ya waislamu inapomwagika kuna mkono wa Saudia, basi na wao watapigwa tu hadi miji yote mitakatifu irudi mikononi mwa waislamu. Na waislamu wote wewe salama dhidi ya fitna za Saudia
You nailed it [emoji817] [emoji817]
 
Duh!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
HUJITAMBUI WEWE, SAUDIA ilishavamiwa siku nyingi na wamarekani. Na ndio maana hata usilamu wao unatia shaka.
Saudia siyo nchi ya kiislamu ni nchi ya kigaidi na inaongozwa na magaidi ambao wanakalia kimabavu sehemu takatifu za waislamu ipo siku waislamu watazikomboa sehemu hizo dhidi ya hawa magaidi walioziteka na kuzitawala kwa sasa
 
Saudi ni makafiri,wanaua watu bila hatia.

Mleta uzi anasema wanasaidia sijui nchi gani,za kiislamu,Ni wabaguzi tu.

Wasaidie na Italy,kenya na Kilimanjaro huko uchagani wapeleke msaada
 
Saudi ni makafiri,wanaua watu bila hatia.

Mleta uzi anasema wanasaidia sijui nchi gani,za kiislamu,Ni wabaguzi tu.

Wasaidie na Italy,kenya na Kilimanjaro huko uchagani wapeleke msaada
Sehemu za kimanzichana, Mkuranga, kibiti, wasaudia wamesaidia miradi mingi ya visima vya maji
 

Shombo la waharabu mna tabu sana ...na nyie mnajiona waarabu sio.....
 
KWA TAARIFA TU:: Saudia ni moja ya nchi iliyowekeza pakubwa nchini Marekani ikiwemo SILICON VALLEY
Inasikitisha sana kwa mtu kama wewe
Kuwatetea watu hawa ambao dunia nzima inajua uovu wao.
Inawezekana ukawa haujafahamu ukweli au unajitoa tu ufahamu
fact ni kuwatetea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…