Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

saudia haina demokrasia na ina utawala wa kikatili kupindukia kwa wenye mawazo na imani tofauti na wao. watu wanahukumiwa kukatwa kichwa katika karne ya 21. wanawake ni kama vitu sio binadamu. ilishathibitika siku nyingi magaidi wa isis, al qaeda, al shabaab, boko haram et al, wanafadhiliwa na wananchi wa saudia. matajiri wa kisaudi ndio wenye kufadhili ugaidi kote ili mradi ni kwa jina la uislaam wa kisaudia. wamepiga mabomu yemen mwaka mzima eti kusaidia serikali dhidi ya waasi. wakati huohuo wanasaidia waasi syria dhidi ya serikali. nchi inayoongozwa na falsafa kali ya dini na tajiri kupindukia sijui nini nafasi yake ulimwenguni katika karne ya 21 kama sio kuleta vita kila mahali. viongozi wa jamhuri ya kiislaam ya iran wanaonyesha kua na busara na kujali mtengamano na amani ya dunia kuliko hawa walinzi wa maeneo matakatifu ya uislaam.
 
Tuseme Saudia wanawasupport vikundi vya ugaidi duniani sio?
 
Siijui hiyo miradi inayofadhiliwa na Saudia.

Kwa mataifa mengine tunafahamu. Kwa mfano Marekani tunajua miradi mikubwa ya barabara na umeme iliyofadhiliwa na MCC, elimu kwa kupitia USAID, JWTZ

Denmark imefadhili sana afya kupitia DANIDA.

Japan ilifadhili miradi ya barabara na ujenzi wa maghala.

Kuwait pia iliwahi kufadhili ujenzi wa barabara na madaraja.

Finland imewahi kufadhili sana UDSM, na miradi mingine ya kijamii.

Israel ndiyo iliyokijenga chuo kikuu UDSM, pia walifadhili miradi ya kilimo, mafunzo ya kijeshi, n.k

Germany kwa miaka mingi imekuwa ikisaidia kitivo cha Uhandisi, mafunzo ya kijeshi, na miradi mingine mingi, etc, etc.
Netherlands imekuwa ikisaidia sana miradi ya kilimo cha umwagiliaji maji.

Uingereza imekuwa ikisaidia maeneo mbalimbali kwenye sekta mbalimbali.

China ilisaidia kwenye mafunzo ya kijeshi, kwenye ujenzi wa reli na viwanda vya nguo

Hiyo Saudia imesaidia nini? Sisemi kusaidiwa ni sifa au mataifa mengine yanalazimika kuisaidia Tanzania lakini tusipende kuyapamba mataifa au watu kwa sifa za uwongo.
Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
 
Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Vita ya kiuchumi na kisilaha kati ya Iran na Saudia haijaanza leo wala haijaanza miaka 100 iliyopita wala miaka 1000 iliyopita, hawa watu ni mahasimu wakubwa na siku zote wanafanyiziana tu.

Why leo kuingilia migogoro isiyotuhusu wakati inayotuhusu hapa Burundi na Zanzibar imetushinda?? na ni migogoro ya juzi juzi tu
 
sisi waislam wenye chuki na marekani (saudia ni pro US) ambao tunapenda sisi na vizazi vyetu vijavyo kwenda kuhijj pale saudia inatuwia ngumu kuchangia hii mada.
 
Ebu niambie mkuu ni lini wamechangia kwy bajeti yetu.?
 
misaada mingi tanzania naona ni jica na watu wa amerika sasa hii saudia imesaidia nini hebu tufahamishe kdg
 
Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Iran na saud ni suni na shia ndo ugomvi wao na marekani ipo upande wa saud
 
Ndo waanzilish wa al-Qaida dhidi ya ussr .huku marekani wakisaport kwa silaha
 
Watanzania bhana kushadadia mambo ya nchi nyingine ya kwako nchini yamekushinda. Badala uhangaike kujikomnoa na umasikini ulionao unawaza nchi za watu. Au ndio story za kwenye kahawa. Ungekuwa unaumiza kichwa upate vipi pesa ungekuwa wa maana au uwasaidieje Wazanzibari ambao haki zao zimevurugwa tungekuona wa maana.
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Marekani yeye yupo pale kwa ajili ya mafuta tu. Visima vikikauka hata leo hii atachukua madege yake na kuondoka. Marekani hamkubali mtu kihivihivi tu...
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Amemtumia sana kuchota mafuta Iran alikataa na kumtimua kibaraka shah
 
Saudi Arabia kwa taarifa yako ni kibaraka wa marekanivingonevyo wangeshapigwa tena na waarabu wenzie. Hivi unajua ya kwamba saudia na Irani hawana uhusiano mzuri??
 
atakaeichezea TANZANIA utamfanya ninia??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…