Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Saudia wakaksi hatari wanavuka kwenda Bahrain WEEKEND kujiburudisha kwa vileo na totoz kisha wanarudi Saudia Wepesiii/Wakavuuu
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
Mtafanyaje
 
Hayo maarabu mnayokumbatia dini yao yanawafunza roho mbaya,ukatili etc ndo maana mnajitoa mhanga,mara kuchoma makanisa na kua washari,shitukeni
 
ningewaona wa maana kama wangetoa Scholarship japo kwa kozi za sayansi (udaktari wa binadamu, jiolojia & nyuklia n.k) kama wafanyavyo wachina. sasa tende mbali na ugumba nini zaidi?
 
Wasaudia weusi wakali kuliko wazawa wa saudia
yaani kijana mzaliwa wa Tanzania badala aipiganie nchi yake anaangaika na nchi ya wenyewe.....kwa kweli huu ni upumbavu na u....... uliopitiliza

nnacho jiuliza je! kuna vijana wangapi nchi hii wenye mawazo ya kipumbavu kama ya mtoa mada?
 
Saudia sio takatifu ila INA maeneo takatifu. Na wala haiongozwi kiislamu Bali na walfame wanaofuata dini ya kiislam.
Ufalme Wa Saudi asili yake ni wazayuni nandio wanaoitawala nchi,sio waarabu wale ni watoto Wa MUNGU MKUU aliowapendelea sana
 
Me ni mwislam ila ishu y kusema hilo taifa linatoa misaada unatuongopea hakuna wenye roho mbaya na dharau km hao waarabu.
Kaka hao sio waarabu ni waisrael waarabu amabao ni wengi Saudi Arabia awaongozi nchi,inaongonzwa na waisraeli fuatilia historia
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Nani amekuambia Saudi ndio waarabu msipende kukurupuka
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.

Wewe acha ujinga Saudi Arabia ni nchi itakayo lipuka yenyewe bila hata kivamiwa na nchi nyingine. Tatizo la Saudi Arabia ni nchi ambayo ukoo mmoja unamiliki nchi na kula bata na watu watu wengine nikama mahouse boys na mahouse girls. Ni sawa Tanzania iwe inamilikiwa na kungozwa na ukoo wa familia ya dialo wa mwanza alafu watanzani hatuliliki chochote.
 
Back
Top Bottom