Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Tusimame kwa dakika 5 kushukuru taifa hili linalotoa misaada katika sekta mbali mbali.
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Kwani wewe nani kaka au ninyi ni nani? Tunafuatilia kujua wanaofadhili au wanaotumika kigaidi ndiyo maana tunataka kujua ninyi ni akina nani? Mnahusikaje na mambo ya Amboni Tanga?
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Hayaa! Washaigusa tayari tena vibaya, sasa sijui ni wewe ndo utawafuta walioipiga Medina!
 
Tayari kimenuka huko saudia,tena sio saudia holela ni zile sehemu nyeti kabisa.Haya matamshi yanayotolewa nyuma ya key board huku umejificha yanatabu sana.
Saudia yenyewe unaisikia kwenye redio tu then mikwara kibao.
Chamsingi tuiombee dunia amani hilo ndilo lamsingi lakini sio hivi vituko.
 
Saudia itapigwa tu one of these days, haiwezekani ifadhili magaidi wanaochafua dunia nzima halafu dunia tuwaangalie tu.
Mnafwata magaidi mnafwata malii kuwaibia wananchi..Iraq mlipeleka silaha zenu wameuana mmendabeba mafuta
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.

Pumbavu! Kumbuka damu za watu mlioua na manoendelea kuwaua bila hatia zinawalilia. Shenzi mashetani wakubwa!. Mwisho wenu umefika mizoga ya mbweha nyie!
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Tuache kushukuru misaada ya magharibi ambayo inaonekana tuwashukuru waarabu ambao hata hatujawahi kusikia wanatoa hata net!! Bora ungesema hata China na japani labda!! Una yako ww
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Taifa teule Israel usiteulishe ovyo mataifa kwa mdomo wako usio na breki
 
Naendelea kusisitizaza kuwa kwenye maswla ya imani sisi binadamu ni wanafiki kupindukia na ni bora hata wapagani mungu anaweza kuwasamehe kuliko sisi tunaomdhihaki.
Apo umenena mkuu watu wengi ni wanafki saana afu wanajifanya wameshika dini ndo maana sisi wngne wanatuweka njia panda kwanza hayo maarabu yana roho mby sana tangu enzi za utumwa halafu yanatuambia tuffuate dini
 
Ni bora tukaendelea kulienzi taifa hili teule kwa misaada yake ya kibinadamu hasa nchi maskini. Hongera Saudia.
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Utafanya hayo yote wewe na nani?
 
Saudi Arabia ndo kimbilio letu sisi nchi maskini. Udumu milele taifa teule.
 
taifa hili limetoa misaada na ajira sana kwa waafrika kotekote nchini mwao kama WAFANYAKAZI WA NDANI (house maids) na katika nchi mbali mbali za afrika kwenye vitega uchumi vya raia wa Saudi Arabia. Pia tunapata TENDE & NYAMA toka Arabuni.
 
Saudi itaanguka yenyewe. Nchi inaongozwa kwasheria za miaka ya ujima. Ukooo wa kifalme ndio wana haki. We gine wote nikama mahouse boys. Ssaudi hata misri ambao ni wa sunni wenzao awawa-support kutokana wanvyowanyanyasa shia kwao ba hasa baharein na yemmen huku wa kijua kuna iran inayozidi kua na nguvu
 
Back
Top Bottom