Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Kaa utulie ule mema yako uchawi upo,
Hujawai kulala ndani ukajikuta umelala juu ya bati?
Hamna anaeanza kukuloga bila sababu
Hyo ya kulala ndani kuamka nje
Amuulize Mzee wa Msoga kilichomkuta Kwa mkewe,alivoenda msibani kwetu Lindi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji122]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mwandiko wa kiume atachment ya kike mwe mwoga bana..weka details unapoishi tunakuloga kwa kukuangalia tu.....tunaanza kukata huo uchumi tunakuloga na maneno...kama huamini uchawi nilikuwa kama wewe..nipo zangu shy vijijini huko mnadani wanauza hizi dawa hadharani kabisa...yule muuzaji nkamwandia kama ulivyosema hapa..akajibu shika hii diwa inaitwa makata ipo kwenye chupa na niya blue akasema kaogee uone...aisee ile kushika ile dawa SIKU HIO SIKUUZA ZAIDI YA KUTUMIA HELA TU...siku ilikuwa ya mikosi balaa...na wewe kajaribu kishika au kuogea alafu uje usema uchawi haupo...mtu anaweza kukuwekea mahala hayo maji japo sijui ukayashika ukabaki na mikosi...
 
Aise jf is not for everyone, very funnyπŸ˜‚ Sasa tukuroge Ili iweje
 
Dogo acha miyeyusho basi.. Sasa unaniuliza Mimi nanufaidikaje unataka nikujibu vipi ? Kama unaona mm napata faida badilisha wewe..

Mimi nimeshindwa kubadilisha, ndio maana unaona Bado lipo Hilo jina, Au unafikir nimefanya maksudi kutumia Hilo jina..

Lawana usinipe Mimi, wape wenye mandatory ya kuamua nani, atumie jina gani
 
Hyo ya kulala ndani kuamka nje
Amuulize Mzee wa Msoga kilichomkuta Kwa mkewe,alivoenda msibani kwetu Lindi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji122]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Atajua hajui na vimilioni vyake,
Kuna kuanguka au bafuni kimazingara inakua ntolee unapooza wiki 2 umevuta,
Anaweza kuendesha gari lake mwenyewe likamtupa porini huko ikawa kwaheri.
Watu hawawezi kumloga sababu ya kutukana JF.
Kwanza akipigwa bomu alemae hiyo pesa atailipa vp?
πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…
Jinga sana
Atukane watu huko mtaani kwao
Au aende kijijini kwao awaambie hayo maneno aone km atabaki salama.
Si hatuna habari nae hapa
 

Basi uchawi haupo maana mmeshindwa kudhibitisha, umepanic
 
Wewe ni mpuuzi acha kusafiria nyota za watu,Jijengee himaya yako,usirudie tena kuniita dogo, pumbavu.
 
Huyu mleta mada ajue tu kuwa kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake, na asifiaye mvua imemnyea. Huyu anajisemesha tu hajawahi kukutwa na huo mkasa lakini waliopitia huo mtihani hapa huwezi kuwaambia kitu. Quran na Biblia vyote vinakubaliana na uwepo wa uchawi. Fuatilia kisa Cha Musa and et al utapata majibu labda km wewe una abudu miungu.

βœ“Ila km wewe mleta mada ndiyo hiyo picha Yako nadriki kusema wewe ni mwanga na mchawi uliekubuhu. Mimi nakwambia ukweli. Hapo kwenye mwili wako tu una vitu vingi vya kishirikina ingawa wewe hujui au huoni km ni ushirikina. Siku ukipigwa kipapai usiste kutupa mrejesho.
 
Mshana Jr hatimae kazi imepatikana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…