reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sasa picha yenyewe ndio hiyo umetugeuzia makalio? weka sura halisi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sasa picha yenyewe ndio hiyo umetugeuzia makalio? weka sura halisi
acha ayatafute siku akiyapata atakuja hapa kuomba ushauri na ID nyingineKabisaa yaani
Sisi Wa mwanayamala,manzese,mbagala ,buguruni na kinondoni msisiri uchawi Tunaujua upo ila hatuupi attention maana mi ujinga ukiuwaza pia
Ila Watu wanarogwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni utoto tu huo sister bado hawajui dunia ipo vp. Huko ushuani penyewe kuna makafara ya kufa mtu.Kabisaa yaani
Sisi Wa mwanayamala,manzese,mbagala ,buguruni na kinondoni msisiri uchawi Tunaujua upo ila hatuupi attention maana mi ujinga ukiuwaza pia
Ila Watu wanarogwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
sasa hivi mnadai na sura 😂😂Mbona sura umeificha?
Hyo ya kulala ndani kuamka njeKaa utulie ule mema yako uchawi upo,
Hujawai kulala ndani ukajikuta umelala juu ya bati?
Hamna anaeanza kukuloga bila sababu
Tena balaa sio poaNi utoto tu huo sister bado hawajui dunia ipo vp. Huko ushuani penyewe kuna makafara ya kufa mtu.
Aise jf is not for everyone, very funny😂 Sasa tukuroge Ili iwejeHello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo.Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason.Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga.Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa,basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka.Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi.Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.
Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni.Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona.Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga.Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama.ng'ombe vyovyote.
[emoji2][emoji2][emoji2]wakishua hao Hawajui hizo mambooacha ayatafute siku akiyapata atakuja hapa kuomba ushauri na ID nyingine
HahahaUtanifanya zombi kisha kwa kutumia madawa utaniagiza niende benki kukutolea.
Sasa mbona wana konakona nyingi 😂swali lako ndio jibu sahihi
Dogo acha miyeyusho basi.. Sasa unaniuliza Mimi nanufaidikaje unataka nikujibu vipi ? Kama unaona mm napata faida badilisha wewe..Unafaidika na nini kutumia ID inayofanana na yangu? si ulisema utabadili?
Hivi JamiiForums mmeshindwa kushughulikia hii issue?
ID moja mnatoa kwa member wawili?
Maxence Melo Moderator Active BlackBold Boqin Paw
Kama hamuwezi kushughulikia hii issue basi pigeni life ban ID yangu,huenda ikawapendeza zaidi,hii issue nimesha report sana tu ila hata japo kunijibu tu sijapata jibu lolote lile!
Atajua hajui na vimilioni vyake,Hyo ya kulala ndani kuamka nje
Amuulize Mzee wa Msoga kilichomkuta Kwa mkewe,alivoenda msibani kwetu Lindi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji122]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mwandiko wa kiume atachment ya kike mwe mwoga bana..weka details unapoishi tunakuloga kwa kukuangalia tu.....tunaanza kukata huo uchumi tunakuloga na maneno...kama huamini uchawi nilikuwa kama wewe..nipo zangu shy vijijini huko mnadani wanauza hizi dawa hadharani kabisa...yule muuzaji nkamwandia kama ulivyosema hapa..akajibu shika hii diwa inaitwa makata ipo kwenye chupa na niya blue akasema kaogee uone...aisee ile kushika ile dawa SIKU HIO SIKUUZA ZAIDI YA KUTUMIA HELA TU...siku ilikuwa ya mikosi balaa...na wewe kajaribu kishika au kuogea alafu uje usema uchawi haupo...mtu anaweza kukuwekea mahala hayo maji japo sijui ukayashika ukabaki na mikosi...
Basi uchawi haupo maana mmeshindwa kudhibitisha, umepanicAtajua hajui na vimilioni vyake,
Kuna kuanguka au bafuni kimazingara inakua ntolee unapooza wiki 2 umevuta,
Anaweza kuendesha gari lake mwenyewe likamtupa porini huko ikawa kwaheri.
Watu hawawezi kumloga sababu ya kutukana JF.
Kwanza akipigwa bomu alemae hiyo pesa atailipa vp?
😄😅😅
Jinga sana
Atukane watu huko mtaani kwao
Au aende kijijini kwao awaambie hayo maneno aone km atabaki salama.
Si hatuna habari nae hapa
Wewe ni mpuuzi acha kusafiria nyota za watu,Jijengee himaya yako,usirudie tena kuniita dogo, pumbavu.Dogo acha miyeyusho basi.. Sasa unaniuliza Mimi nanufaidikaje unataka nikujibu vipi ? Kama unaona mm napata faida badilisha wewe..
Mimi nimeshindwa kubadilisha, ndio maana unaona Bado lipo Hilo jina, Au unafikir nimefanya maksudi kutumia Hilo jina..
Lawana usinipe Mimi, wape wenye mandatory ya kuamua nani, atumie jina gani
Sasa alogwe ili iweje hapa JF?Basi uchawi haupo maana mmeshindwa kudhibitisha, umepanic
😂Sasa alogwe ili iweje hapa JF?
Ye atukane watu huko mitaani , vijijini.
Kazini
Ataleta mrejesho km ataweza kuandika
Mshana Jr hatimae kazi imepatikana kakaHello Africans.