Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Hakunaga uchawi
Kamuulize Mwamposa na yule wa Mbezi anaitwa Kuhani Musa sijui atakwambia yale anayowaambia waumini wake kuna Nini mazingaombwe au ? Ogopa kusikia acha yawakute wenzio wewe yakupitie mbali yakikukuta utaelewa ya Duniani
 
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Utalipaje huku umelogwa tayari?
 
Kamuulize Mwamposa na yule wa Mbezi anaitwa Kuhani Musa sijui atakwambia yale anayowaambia waumini wake kuna Nini mazingaombwe au ? Ogopa kusikia acha yawakute wenzio wewe yakupitie mbali yakikukuta utaelewa ya Duniani
Mwamposa ana matatizo ya akili yule na anawapata wenye matatizo ya akili wenzake eti akakuombee ufaulu au upate kazi hayo ni magonjwa ya akili
 
hakuna lolote hizo stori tu uchawi hauna nguvu kama mnavyodahani mm naweza kukupa information na huna lolote unaloweza kufanya [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Siyo mimi niliyeomba hizo info bali Ni mtu mwingine, inapaswa hiyo comment ukamjibu yeye. Kampe hizo info zako PM, huo unaouleta kwangu ni uropo tu wakati aliyesema yupo
 
Ngoja aendelee kukua Ila akiendelea na huu utoto wake Safari yake ni fupi watamla nyama
Hajaijua dunia vizuri anajikuta anajua kila kitu, ana safari ndefu sana ya kimaisha. Haya mambo yapo sana ndiyo maana wengi hawawekezi vijiji walivyotokea na wanaenda kujenga kwingine hata wakistaafu wanaishi huko kisa kuogopa hili
 
Mwamposa ana matatizo ya akili yule na anawapata wenye matatizo ya akili wenzake eti akakuombee ufaulu au upate kazi hayo ni magonjwa ya akili
Hio nimetoa km simple example kukuelewesha dunia ilivyo sijampa mtu promotion Ila ma men uchawi upo kila angle kila kona, wewe una kitovu au hauna kitovu ? Tuanzie hapo
 
Siyo mimi niliyeomba hizo info bali Ni mtu mwingine, inapaswa hiyo comment ukamjibu yeye. Kampe hizo info zako PM, huo unaouleta kwangu ni uropo tu wakati aliyesema yupo
Hakuna mtu anaeweza kuniroga kama yupo aje hapa Nampa information na na Nampa siku akishindwa namakata kichwa chake tunakubaliana kwanza endapo ataniroga sawa akishindwa na mm nichague nimfanye kitu gani
 
Upeo wenu ndo ulikoishia hapa.
Matusi na mihemuko.
Kama.una hasira sana niloge basi upooze machungu
Oyaaa achia ulichoambiwa uachie weka majina utunguliwe wewe si unataka kutunguliwa au umekuja kuwajaribu watu ?
 
Hakuna mtu anaeweza kuniroga kama yupo aje hapa Nampa information na na Nampa siku akishindwa namakata kichwa chake tunakubaliana kwanza endapo ataniroga sawa akishindwa na mm nichague nimfanye kitu gani
Haya weka majina yako matatu na majina ya Mama yako matatu

Hivyo tu vinatosha unapigwa mzizi kwanza kisha linapigwa tawi
 
🤣🤣🤣😁😁hata anachokiandika anaonekana hakijui vizuri.
Anajitekenya kisha anacheka mwenyewe,soma mstari huu👇
"Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu."
Mpaka hapo keshaamini kwamba hizi imani zipo na zinaleta athari kama alivyoainisha.
Wakuu punguzeni kukurupuka,kabla hujaandika fanya research ya kutosha na ujiridhishe.
Mambo ya kiimani unaandika andika tuu as if unasimulia ndoto uliyoota.
Wakuu kama sijatenda vyema mniwie radhi.
Mtoa mada weka majina uliyoombwa wakuu waonyeshe maujuzi
 
Sasa wewe ndo tunaweza kufanya biashara.
Nasubiri kitu mkuu.
Waambie kabisa nini utanifanya.
Ila usiniue ili nije kutoa ushuhuda😂.
Na ukiweza kuniloga itabidi tukae mezani tuone namna gani tutumie ndumba kupiga hela na ikibidi tutumie uchawi wetu kunufaisha Taifa liwe first world country.
Na usafiri wetu wa ungo nitahakikisha unachuana na KLM,Ethiopian airline na Emirates kuongeza pato la taifa🤣
holy holm Half american Achraf hakim Bufa
huyo kalewa
 
Back
Top Bottom