Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜hata anachokiandika anaonekana hakijui vizuri.
Anajitekenya kisha anacheka mwenyewe,soma mstari huu๐Ÿ‘‡
"Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu."
Mpaka hapo keshaamini kwamba hizi imani zipo na zinaleta athari kama alivyoainisha.
Wakuu punguzeni kukurupuka,kabla hujaandika fanya research ya kutosha na ujiridhishe.
Mambo ya kiimani unaandika andika tuu as if unasimulia ndoto uliyoota.
Wakuu kama sijatenda vyema mniwie radhi.
Mtoa mada weka majina uliyoombwa wakuu waonyeshe maujuzi
thibitisha wewe basi uliye fanya researches kama hii imani uchwara ipo
 
Najiuliza na mim haya maswali mkuu.
Kwa hiyo kumbe bila majina huwezi logwa?
Hivi hakuna anayeweza kutumia hata hii ID yangu kuniloga?
Mbona kuna mtu nilimuona humu akimkanya mwenzie eti awe makini kuna wanga humu wanaloga hadi ID๐Ÿ˜‚.
Kwani mim ni mzito sana hadi washindwe kuloga kupitia japo ID
wapumbavu hao hawana lolote
 
Kabizi hayo majina hapa acha kujisifia ujinga, si uweke majina uonyeshwe show kenge wewe
Punguza matusi mkuu.
Halafu naomba kuuliza swali boss wangu.

Eti Tanzania nzima hakuna mchawi anayeweza kupata hayo majina kwa ndumba?
 
Twende ukakabizishe hizo hela kabisa kwa makubaliano ya kusainishana kisheria alafu nipe majina yako matatu na uzi kutoka kwenye nguo yako.... Niruke pale tunduma chap kwa mzee mmoja anaitwa Nyang'anya Wananyungi Filtahai Bin Nyang'anya, Wewe week tu unabaka mwanafunzi na ndo unakuwa mwanzo wa matatizo yako.
Hahaha...
Mtoa mada ni mwanamke bhana, ebu angalia picha yake!
 
Nakuja kukupa pm sasa ole wako ushindwe kuniroga ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Lete km kweli unajiamini na umechoka kuishi,
Punguza matusi mkuu.
Halafu naomba kuuliza swali boss wangu.

Eti Tanzania nzima hakuna mchawi anayeweza kupata hayo majina kwa ndumba?
Mwenzako kashakabizi majina PM na wewe kabizi sio unajifanya macho kuvimba tu km umechanjwa ngozi ya Mamba, Leta majina
 
sasa jirani kama unaogopa vinyoka, wakija wanga uchi uchi si utajikojolea๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wakija nikawaona kweli nitaogopa ila uzuri hawana uwezo huo wa kuja nyumban kwangu
 
Ni waoga tu na wanaoona kuwa kuwa kila mgonjwa karogwa
Au akiona biashara haiendi eti karogwa
Watu wa hivi nawadharau sana
Baba yangu tulikuwa tukimuambia mchawi huyo
Na kweli wale waliokuwa wanajulikana na mambo ya ushirikina
Mzee anachukua fimbo basi atakula za fasta na sisi hatuna mbavu

Tangu udogo wangu nawaona ni wapumbavu tu hao
Hakuna haya mambo bali kwa masikini tu
Ukiwa na hela wala hujishughulishi
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wakija nikawaona kweli nitaogopa ila uzuri hawana uwezo huo wa kuja nyumban kwangu
Wewe ni MTOTO
Haya haya uyu zuzu nimempa majina yangu matatu na mama matatu anasema nataka naniroge aya nasubiri nione ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Ushanipa we endelea na issue zako Ila nishakupa angalizo usiseme sikukwambia,
 
Back
Top Bottom