Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
We mtoto acha utoto basi hizo kamati haziendi ksma unavyotaka kichwani, watu wanachukha hizo info zako au kitu chako ikiwemo kucha, nguo, nywele n.k uchawi hautumwi kwa textHamna mchawi anayeweza kuniloha bila hizo info?
Sumbawanga nzima hakuna?
Siyo mjinga ni mtoto bado hajakua na hata anayoyaongea ni utoto tuHakuna analolijua mjinga mmoja huyo
Kamuulize Mwamposa na yule wa Mbezi anaitwa Kuhani Musa sijui atakwambia yale anayowaambia waumini wake kuna Nini mazingaombwe au ? Ogopa kusikia acha yawakute wenzio wewe yakupitie mbali yakikukuta utaelewa ya DunianiHakunaga uchawi
hakuna lolote hizo stori tu uchawi hauna nguvu kama mnavyodahani mm naweza kukupa information na huna lolote unaloweza kufanya 😁 😁 😁Si unataka kulogwa wewe mpe hizo info basi hata PM, vinginevyo umekuja hapa kujimwambafai tu
Utalipaje huku umelogwa tayari?Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mwamposa ana matatizo ya akili yule na anawapata wenye matatizo ya akili wenzake eti akakuombee ufaulu au upate kazi hayo ni magonjwa ya akiliKamuulize Mwamposa na yule wa Mbezi anaitwa Kuhani Musa sijui atakwambia yale anayowaambia waumini wake kuna Nini mazingaombwe au ? Ogopa kusikia acha yawakute wenzio wewe yakupitie mbali yakikukuta utaelewa ya Duniani
Ngoja aendelee kukua Ila akiendelea na huu utoto wake Safari yake ni fupi watamla nyamaSiyo mjinga ni mtoto bado hajakua na hata anayoyaongea ni utoto tu
Siyo mimi niliyeomba hizo info bali Ni mtu mwingine, inapaswa hiyo comment ukamjibu yeye. Kampe hizo info zako PM, huo unaouleta kwangu ni uropo tu wakati aliyesema yupohakuna lolote hizo stori tu uchawi hauna nguvu kama mnavyodahani mm naweza kukupa information na huna lolote unaloweza kufanya [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Upeo wenu ndo ulikoishia hapa.Hakuna analolijua mjinga mmoja huyo
Hajaijua dunia vizuri anajikuta anajua kila kitu, ana safari ndefu sana ya kimaisha. Haya mambo yapo sana ndiyo maana wengi hawawekezi vijiji walivyotokea na wanaenda kujenga kwingine hata wakistaafu wanaishi huko kisa kuogopa hiliNgoja aendelee kukua Ila akiendelea na huu utoto wake Safari yake ni fupi watamla nyama
Hio nimetoa km simple example kukuelewesha dunia ilivyo sijampa mtu promotion Ila ma men uchawi upo kila angle kila kona, wewe una kitovu au hauna kitovu ? Tuanzie hapoMwamposa ana matatizo ya akili yule na anawapata wenye matatizo ya akili wenzake eti akakuombee ufaulu au upate kazi hayo ni magonjwa ya akili
Hakuna mtu anaeweza kuniroga kama yupo aje hapa Nampa information na na Nampa siku akishindwa namakata kichwa chake tunakubaliana kwanza endapo ataniroga sawa akishindwa na mm nichague nimfanye kitu ganiSiyo mimi niliyeomba hizo info bali Ni mtu mwingine, inapaswa hiyo comment ukamjibu yeye. Kampe hizo info zako PM, huo unaouleta kwangu ni uropo tu wakati aliyesema yupo
Oyaaa achia ulichoambiwa uachie weka majina utunguliwe wewe si unataka kutunguliwa au umekuja kuwajaribu watu ?Upeo wenu ndo ulikoishia hapa.
Matusi na mihemuko.
Kama.una hasira sana niloge basi upooze machungu
Hauna nguvu kama mnavyodhani karne ya sayansi hii wewe njoo na uchawi wako mm nakuja na reality ya duniaHio nimetoa km simple example kukuelewesha dunia ilivyo sijampa mtu promotion Ila ma men uchawi upo kila angle kila kona, wewe una kitovu au hauna kitovu ? Tuanzie hapo
Haya weka majina yako matatu na majina ya Mama yako matatuHakuna mtu anaeweza kuniroga kama yupo aje hapa Nampa information na na Nampa siku akishindwa namakata kichwa chake tunakubaliana kwanza endapo ataniroga sawa akishindwa na mm nichague nimfanye kitu gani
huna jeuri hiyoNtumie majina yako matatu.
Nikutumie kifurushi cha mwaka mmoja uangaike nacho
Kabizi hayo majina hapa acha kujisifia ujinga, si uweke majina uonyeshwe show kenge weweHauna nguvu kama mnavyodhani karne ya sayansi hii wewe njoo na uchawi wako mm nakuja na reality ya dunia
huyo kalewaSasa wewe ndo tunaweza kufanya biashara.
Nasubiri kitu mkuu.
Waambie kabisa nini utanifanya.
Ila usiniue ili nije kutoa ushuhuda😂.
Na ukiweza kuniloga itabidi tukae mezani tuone namna gani tutumie ndumba kupiga hela na ikibidi tutumie uchawi wetu kunufaisha Taifa liwe first world country.
Na usafiri wetu wa ungo nitahakikisha unachuana na KLM,Ethiopian airline na Emirates kuongeza pato la taifa🤣
holy holm Half american Achraf hakim Bufa
😂😂😂 jirani.Jirani mbona unataka vita ya mawe wakati uko kwa nyumba ya vioo?
by the way, kwanini umefunga PM?