Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Yaani nitoe 25M halafu nikufanyie na nusu ya kazi ya kuniloga?
Kwanin tuansikishane kisheria?
Unaogopa nitakuzulumu🤣
Nikizulumu si babu yupo atanipiga na kitu kizito,😂
Uzi njoo chukua mwenyewe kimazingara usinichoshe🤣
wakati tunakutana kwenda kusign makubaliano me nitakuchukulia uzi mwenyewe, majina nitayasoma kwenye hati ya makubaliano ili usisumbike. Ni lazima nipate hivyo vitu maana sio mimi ninayekuroga, Unarogwa na mtaalamu sasa mtaalamu hawezi kukujua wewe bila mimi kumpa details asije akaloga mwingine
 
Tunanze kwanza kwa ku-declare interest,

Je wewe ni mwamini?

Kama sivyo mjadala huu utakuwa batili [emoji706]
 
Wewe, utanipaje hela wakati nitakuwa nimekumaliza?

Ukiachwa hutaamini kama nimefanikiwa kukuroga.
 
Sababu Imeandikwa; “ asiachwe mwanamke Mchawi kuishi “

Maana yake auliwe mara moja inapojulikana kuwa mwanamke fulani ni mchawi auwawe.

Mungu mpaka anaandika amri hiyo usizani ni jambo la masihara.

Neno la Mungu limehakikishwa mara 7.

Mungu anajua uharibifu na madhara anayosababisha
Mwanamke Mchawi Ndiyo maana akaagiza auliwe mara moja.
 
Watakuja na excuses zote badala ya kuokoa nguvu na muda na kukuroga.

Inabidi uwe zwazwa grade A1 kuamini uwepo wa ushirikina karne hii.
Yaani mi wananikera sana watu wa hizi imani.
Halafu hizi imani ni hatari sana kwa kweli.
 

Hearsay. Hata mimi naweza kukupa story za uchawi nilizojitungia tu au kusikia bila uthibitisho wowote.
 

Mwanaume mchawi je? Au mungu wenu nae ni sexist?

Neno lake limethibitishwa mara 7 na nani?
 
Kuna mwanamke mmoja Jana kanambia anaamkia kwa ostadhi et anaendaga somewa dua ,


Kaenda leo mapema kabisa karudi now ananitxt Hana hela katumia nyingi namuuliza sh ngapi akasema 40k


Nikamwambia Imani yako itakuponya sa hivi ostadhi anakula kuku wewe umeenda na imani zako et una majini sijui ushapandaga mashetani zaman sa hivi unaota Mambo ya ajabu umempelekea ostadhi 40k😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…