Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Uchawi upo kwa wanaoamini kuwa upo. Haupo kwa tusioamini kwamba upo. Ni kama miujiza ya mitume na manabii. Kwangu mimi ni kilele cha biashara za matapeli. All crap, ultimately.
 
Hahaha umeongea ukweli bro Imani potofu za mauchawi na Nini ndo zinafanya Africa isiendelee...wenzetu wanaendelea coz of science na kufikiri
 
Amini unachokiamini. Usiharibu deal 🤝 za watu 😅
 
Mm pia nimeshukuhudia mtu ni chiz had Leo alipewa matunda mzee mmoja akauza hakupeleka ela akamdhulumu mwenye Shamba Yani ni chizi anavua nguo had hadharani
Mwingine aliiba simu nae anaokota makopo
Kuna jamaa aliiba mashuka ya Guest ilikuwa Songea mwaka 1996 aligeuka kuwa Chizi anajikojelea na hata nguo havai zaidi ya kipensi cha jeans tu. Nilienda Songea 2013 nilimkuta bado ni ana hali ile ile. Huyu mleta mada ndio hao hao Wachawi wenyewe 😅😅😅
 
Huu ni muandiko wa mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…