Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mambo yapo sana hasa kwenye jamii zetu za kiafrica.Mm pia nimeshukuhudia mtu ni chiz had Leo alipewa matunda mzee mmoja akauza hakupeleka ela akamdhulumu mwenye Shamba Yani ni chizi anavua nguo had hadharani
Mwingine aliiba simu nae anaokota makopo
Mi mwoga sanaAcha woga shosti.Hakuna wakuniloga mim
wewe ni muoga sana ila woga ni akili endelea hvyo hvyoSiwez kukupa majina sbb ya privacy.
Mnateknolojia ya kupaa na ungo ila kuweza kujua majina yangu mmafeli
Watu wanaroga aiseeAcha tu walichonifanya Mungu anajua ila usiombewe kulogwa wapo watu watakuloga
Uchawi upo ila I don't entertain it at allMkuu na wewe unaamin?
Eh hajawahi kumpata wake soon atampata atamfanya kitu ni kufa tu anajuaWatu wanaroga aisee
🤣🤣🤣Mkuu kuna jina linaloanza hapo kabla ya ilo🤣🤣🤣🤣Kalogwa tena
Hahaha umeongea ukweli bro Imani potofu za mauchawi na Nini ndo zinafanya Africa isiendelee...wenzetu wanaendelea coz of science na kufikiriHello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo.Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason.Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga.Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa,basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka.Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi.Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.
Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni.Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona.Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
Mm pia nimeshukuhudia mtu ni chiz had Leo alipewa matunda mzee mmoja akauza hakupeleka ela akamdhulumu mwenye Shamba Yani ni chizi anavua nguo had hadharani
Mwingine aliiba simu nae anaokota makopo
Amini unachokiamini. Usiharibu deal 🤝 za watu 😅Hello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo.Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason.Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga.Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa,basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka.Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi.Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.
Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni.Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona.Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
Kuna jamaa aliiba mashuka ya Guest ilikuwa Songea mwaka 1996 aligeuka kuwa Chizi anajikojelea na hata nguo havai zaidi ya kipensi cha jeans tu. Nilienda Songea 2013 nilimkuta bado ni ana hali ile ile. Huyu mleta mada ndio hao hao Wachawi wenyewe 😅😅😅Mm pia nimeshukuhudia mtu ni chiz had Leo alipewa matunda mzee mmoja akauza hakupeleka ela akamdhulumu mwenye Shamba Yani ni chizi anavua nguo had hadharani
Mwingine aliiba simu nae anaokota makopo
Huu ni muandiko wa mchawiHello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo.Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason.Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga.Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa,basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka.Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi.Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.
Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni.Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona.Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga.Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama.ng'ombe vyovyote.