amate
Senior Member
- Feb 23, 2017
- 157
- 377
Mkuu, ata jina uchawi halimanishi utajiri, kipato, mafanikio, simply uchawi ni uharibifu, magonjwa, yaan kinyume na maendeleo. So navyoona watu wanaweka mpaka 25M eti warogwe, ni kukosa akili kupindukia.Kumbe mchawi ni mpaka asaidiwe na muhusika ndio aweze kuroga!
Mkuu umesha fanya wangapi kua vichaa mpaka muda huu?
Halafu waamini uchawi kwanini hua wanaamini kwenye mabaya tu? kwanini usimwambie kua unaweza kumfanya akawa tajiri zaidi?
😀 😀
May be, yawezakuwa tunahangaika kusoma uzi wa mtu alietoka kwa mganga wake jana, hapa anataka kupima dawa za mganga wake kama zinafanya kazi.
NIWAKUMBUSHE KITU.
Ata Yesu mwenyew hakujiamini kiasi hiki, aliamin kuwa wachawi wapo. Uchawi si wa Africa tu, uchawi upo karne na karne toka kipindi cha akina Ibrahim, Musa, Suleiman.....Bible na Koroani zinautambua uchawi na zinasisitiza kuuepuka.
Leo mtu mmoja kashiba makande, anaomba arogwe tena kwa dau la 25M, ujinga na upumbavu. Ukitaka kurongwa seriously, usiombe kurogwa bali nenda sehem ambapo inasemekana kuna wachawi wengi anaza kupiga makofi, bibi na babu vizee, dokoa Mali za wazee hovyo, kafanye fujo kule vijijini. Nakuahidi hutarudia kuomba kurogwa.
Kama hujawahi kurogwa Mshukuru Mungu kwanza. Maana si kwamba wew ni mjanja sana, bali Mungu hajakuachilia kwa mikono ya kichawi.