Ataweza kuishi Moshi kwa salary ya laki 8?

Hii post imenichekesha Sanaa...ikiwa kuna jobless wanaishi moshi...yeye nani asiishi?

Though sometimes wanasema usiingilie maisha ya watu lakini huko ni katika kujifahirisha
 
Uzima ni bora kuliko chakula na Mwili ni bora kuliko Mavazi.

by Yesu Mnazareth
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Mkuu hiyo fedha ni ndogo sana kwa Moshi, angalau iwe Mil 1.5 hivi kwa mbaali anaweza kuishi Moshi.

Kama vipi asisinye tu wino aachane na hiyo kazi, mshahara mdogo sana.
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Mwambie anipe mimi hiyo nafasi, nitaweza kuishi kwa Laki 5(Maximum)

Kama ana ishu zingine zinazomuingizia pakubwa kuliko hiyo laki 8 basi asiende hiyo nafasi ijazwe na mwingine mwenye uhitaji
 
RAU si ndiko walikamatwa akina Mohamed Ligwenya, Khalfani Bwire na Adamu Kasekwa? Hilo eneo sitaki hata kulisikia
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Mwambie aache ujinga
 
Nipe laki 5 nikaishi moshi

Yaan hakuna mji naupenda kwa sasa kama moshi, maana nimeishi miaka 3 hvyo nafaham aona ya gharama
 
Mkuu hiyo fedha ni ndogo sana kwa Moshi, angalau iwe Mil 1.5 hivi kwa mbaali anaweza kuishi Moshi.

Kama vipi asisinye tu wino aachane na hiyo kazi, mshahara mdogo sana.
Kuna watu mnajua kujaza watu ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…