Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.

=====

UPDATES

======

Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.

Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina uthibitisho wa Tangazo wanalolisambaza. ATCL haijatoa kauli yoyote ya kufuta safari kuelekea Geita.

Tunaandika taarifa hizi tukiwa tumewasiliana na ATCL ambao wamesema safari ziko tatu kwa wiki kama ilivyokuwa awali na ndege hutua uwanja wa ndege wa Chato
 
Muache Propaganda zisizokua na kichwa wala miguu. Habari za kizushi na Uongo wa wazi.

Kuna haja ya JF kuchukua hatua.

Safari zipo pale pale.Booking ya Keshokutwa, Alhamisi.

Screenshot_20220418-170108_Chrome.jpg
 
Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. Soma hapaView attachment 2192310
Unakuta na wewe unafamilia inakutegemea kama kaka yao, mjomba wao, baba yao na pengine ukute ni mme wa mwanamke 1 hapa duniani😂😂..

Sawa bana ndio maana ya utanda- wazi.
Wajinga kama nyie mlitakiwa kunyweshwa sumu pindi mnazaliwa
 
so far wamekanusha jioni hii
 
Unakuta na wewe unafamilia inakutegemea kama kaka yao, mjomba wao, baba yao na pengine ukute ni mme wa mwanamke 1 hapa duniani[emoji23][emoji23]..

Sawa bana ndio maana ya utanda- wazi.
Wajinga kama nyie mlitakiwa kunyweshwa sumu pindi mnazaliwa
Pumbaf sana wewe ,hizo tabia za kunywesha watu sumu hapa Tanzania siyoutamaduni wetu na inaonekana wewe siyo mzawa wa nchi.
 
Back
Top Bottom